mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,491
- 2,985
Serikali hongera sana kwa kujitahidi kusomesha wengi
Mtu anamalizaje hajui kusomaJamani hao ni wahitimu wa Elimu ya msingi. Tangu lini wameshanza kuwa mizigo?? Hao si bado watoto au!!!! Au hawakupaswa kupata Elimu ya msingi?