KWA HIYO Mnataka bunge litumIke kama rubber stamp???ooMara nyingi kwa sheria na kanuni kama hizi nimekuwa nikiona zikitumika. Akiwa mgombea hana mpinzani straight hutangazwa yeye kuwa mshindi bila kupingwa. Sasa nafasi ni mbili wagombea ni wawili si ni dhahili kuwa wamepita bila kupingwa?
Nilicheka Mbowe alipoulizwa wafanywe nini akasema wapigiwe kura ya ndio, yeye mwenyewe alijicheka! Kwa muono yangu hata wakipigiwa kura za sio zote , wao ni wabunge automatically! Kura za sio hazibatilishi qualification zao bali kuonesha dissatisfaction ya wabunge wa CCM. Hongera technical team ya Chadema na UKAWA kwa ujumla.
Spika amesema hakuna kitu kama hicho, lazima kura zipigwe aidha kwa mdomo au kwa karatasi.. Kama wakishapitishwa na vyama vyao ndo tayari basi haina maana ya Bunge kukutana na kupiga kuraMara nyingi kwa sheria na kanuni kama hizi nimekuwa nikiona zikitumika. Akiwa mgombea hana mpinzani straight hutangazwa yeye kuwa mshindi bila kupingwa. Sasa nafasi ni mbili wagombea ni wawili si ni dhahili kuwa wamepita bila kupingwa?
One-third of the elected members should reflect either gender.Ni ngumu kuielewa hii?Wangeleta wanawake watupu ndo wangekuwa wametimizaje sasa hiyo kanuni.Muwe mnasoma na kuelewa vitu kabla hamjajigeuza walimuKuna ambao hawajaelewa mantiki ya kipengele cha kwanza
Sheria inataka nchi mwanachama kupeleka wabunge (kwa idadi waliyopewa ambayo kwa Tanzania ni wabunge 9) ambapo kati yao, theluthi iwe uwakilishi wa wanawake.
Kwa nchi yetu vyama vimegawiwa nafasi za uwakilishi kulingana na idadi yao bungeni. Sasa ili kuipata hiyo theluthi KILA CHAMA KIWE NA MGOMBEA WA JINSIA KE.... Ili kwenye hao wanawake, WAWEZESHE kuifikia ile theluthi. Haimaanishi kuangalia kama CCM imeweka wanawake ndio waje kuhesabiwa kama 1/3. Kama CCM wangeleta wanaume pekee yao, je ninkwa namna gani 1/3 ingepatikana?
Kama ambavyo upinzani wanaona ugumu KUCHANGIA wanawake ndivyo na CCM wanavyofeel. Hata hao waliowaweka wanatamani WASIWEPO na ndivyo hali ilivyo, sasa sheria inawabana, na kikombe hiki kila mtu akinywe mpaka wakabadilishe sheria!
Wengi wamehoji kwenye viti viwili 1/3 ni nini?
Someni muelewe...
Imeandikwa..... ILI KUWEZESHA UTEKELEZAJI WA SHERIA.....
Haimaanishi kila chama kilete 1/3 bali kila chama KIWEZESHE utekelezaji wa sheria ya 1/3 kwa kuweka wanawake. Wenye viti vichache wao wanaweza kujikuta wakileta wanawake pekee mfano CUF au nusu (CHADEMA)....
Hili linaweza kuwafanya wajisikie kuwa wamepunjwa au wameweka kiasi kikubwa cha wanawake, lakini ndio njia pekee ya KUWEZESHA utekelezaji wa sheria hii.
Sasa kama hamleti wanawake mnawezeshaje matakwa hayo ya kisheria? HUWEZI KUWEZESHA BILA KUCHANGIA
Ni wapi au sheria ipi imesema kuwa wenye viti vingi (CCM kwa sasa) ndio wanapaswa kuwa na wanawake ili sheria hiyo itekelezeke? Ni hivi, kama vyama vya upinzani haviwezi kuweka wanawake, wasifikiri ccm ndio wenye kulazimika kuleta wanawake. Na ndio kusema wanaikataa hiyo kanuni ya 1/3
IELEWEKE
Kuhusu Theluthi ya wanawake, HAIMAANISHI KILA CHAMA KIWE NA 1/3 Bali kila chama KICHANGIE wanawake ili kupatikana hiyo theluthi kwa idadi yote. Na kwa scenario yetu idadi ya wanawake inaweza kuzidi theluthi, na kuzidi si dhambi kwa kuwa sheria inasema ANGALAO na haifungi wakiongezeka, kwa hiyo jambo sio kutafuta mahesabu ya 1/3 ya 9 ni kiasi gani, bali kutazama uwezeshaji wa vyama kufikia hiyo ANGALAO mbapo inaweza kuzidi..
Upinzani wanaweza kupiga kura kwa CCM,ukiangalia matokeo ya Dr Maghembe utagundua amepata kura kwa pande zote.Jamaa yuko vizuri atasaidia sana hata alivyokuwa anajieleza mimi nikasema huyu lazima awe mwakilishiYaani unategemea uwe mpinzani wa CCM halafu wakupigie kura? Au Upinzani wanaweza kuwapigia kura CCM? Unalowaza haliwezi kutokea isipokuwa tu, siasa za wanaogombea zikiwa ni siasa zisizo na takataka ambazo angalau zina apreciate pale mpinzani anapofanya vyema na kukosoa pale panapostahili... Angalia ACT unaweza kuelewa.... tatizo siasa za Kitanzania ni chafu sana, ukwia upinzani hujengi hoja, umaarufu wako ni kumtukana au kumkashifu mpinzani mwenzako... Mauaji ya Kimbarii na ubaguzi vilianza hivyo hivyo kwa siasa za kijinga na ndio maana hakuna kupigiana kura...
Sheria za mabunge ya jumuia ya madola zinafanana hivyo hata tabia lazima ziendane. Hiyo ya kwenda beach niwaige kwa kanuni IPI?Kwa hiyo sababu bunge la Uingereza wanapiga kelele kama masokwe basi na sisi tuige kwa kuwa ni Waingereza wanafanya hivyo basi nenda beach kaogelee na mama yako mkiwa mumevaa chupi pamoja na dada zako kwa kuwa hizo ndio tabia za Waingereza nawe iga.
If it went fair, the boy in Scarf was supposed to win. He sold himself very very good. He has good English with logical issues.Who is this boy with a scarf?