SENGANITU
Member
- Sep 19, 2012
- 50
- 15
Ndugu wadau wa Jamii Forum ninaomba kujua wapi yanapatikana matokeo ya wanachuo ambao ni continuing na ambao walikosa mikopo hapo awali na baadae waka appeal.Mwenye jipya kwa hili ajitokeze,atuelekeze kwa faida ya umma wa wanafunzi hawa ambao wamejawa majeraha ya ada na mahitaji mengine ya kitaaluma. Limekuwa ni kundi maalum kwa athari hizi za maisha magumu katika vyuo wanavyosoma.