Hizo ni kama kura milion 4 tu kati ya zaidi ya mili 15 waliopiga kura!...,na hapo ni nusu ya majimbo yote tz!.,je mbona ni kura chache sana?,,huoni hayo majimbo yana watu wachache tuu
uongo acha kwa hiyo waliokuwa wameandikishwa kwenye jimbo hilo pia wamezidi au unaongea nini vile
Nani anajeuri ya kumtoa fisi mkuu aliyemleta fisadi CDM?
tumia akili kidogo, kumbuka wanafunzi wa vyuo walijiandikisha shuleni kura wamepigia majumbani kwao hivyo unaruhusiwa kupiga urais, ubunge na udiwani wamekataliwa.
Idadi ya kura zote ktk boksi la mbunge ni takriban elf 20, na idadi ya kura zote ktk boksi la raisi ni takriban elfu 45. Inamaana kuna watu elfu ishirini na ushee hawakupiga kurq kwa mbunge.ila walimpigia raisi tuu. Nadhani utakuwa umeelewa
Angalia hii
Jimbo la Bumbuli ndilo litakuwa mfano wa wizi wa kura. Kwani matokeo ya kura za urais kura halali ni karibu 40,000 na Magufuli anatajwa kupata 35,310 huku Lowasa akitajwa kupata 7,928! lakini katika matokeo ya ubunge kwenye jimbo hilohilo jumla ya kura halali ni 20,522 na mshindi ambaye ni january makamba amepata kura 17,805 ambapo aliyemfuatia ana kura 2403.
Maana yake kuna watu zaidi ya 20,000 walipiga kura za urais lkn hawakupewa karatasi za kura za ubunge!
Yaani Hata kuiba hawajui
Hivi nikimchagua mbunge wa chadema kwani lazima nimchague na rais wa chadema?
hawa jamaa vp? wameishiwa swaga nini
Msituandae kisaikolojia nyie, tulieni ngoma bado mbichi hii
Let uthibitisho wa madai yako.Mzee vipi tena. Mbona mnakomaa hivyo. Lazima aapishwe kivipi.?! Nawakati kashidwa.?! Ccm bana..
Mawaziri 9 kupigwa chini ni ishara tosha kabisa kwamba hamtakiwi tena. Bado majimbo kama 30 hivi mmepoteza bado unainua mdomo juu? Ningekuwa weewe ningekuwa nimechutama msemo mkongwe muungwana akivuliwa nguo hasimami. Ila wewe ndio kwanza unachanja mbuga wattoto wanakukodolea macho wanakushangaa huyu babu vipi??????