The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,911
- 2,890
imeelezwa kua kufanya vibaya ktk matokeo mbalimbali ya mitihani ukiwemo wa kidato cha nne kwa shule za umma kunasababishwa na shule binafsi kuwanunua waalimu wazuri ambao serikali imewasomesha na kuwaandaa kwa gharama kubwa taarifa hiyo imeeleza kua shule hizo za binafsi zimekua zikiwachukua waalimu wazuri na kuwalipa ujira mkubwa kuliko ule wanaopata wakiwa serikalini hivyo kufanya serikali kupungukiwa na waalimu wazuri source gazeti moja leo ni wakati wa kujiuliza hivi serikali ipo serious na elimu yetu kweli!?