King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,986
- 69,353
Huyooooooooooooooooo kata zaidi ya 200 CDM imechukua haaaaaa
baada ya matokeo ya mijini mingi kuonyesha cdm wanaongoza, sasa matokeo ya vijijini yameanza kutolewa huku ccm ikiifunika kwa mbali chadema! hii nafananisha na mchezo wa marathon ambako watu huanza taratibu na kuongeza kasi kadri mda unavyoenda....mfano ni "Matokeo ya kata ya akheri.
Nkoanrua1 cdm 192 ccm 60
Nkoanrua 2 cdm 166 ccm 56
Ushirika akheri 1 cdm 70 ccm 115
Ushirika akheri 2 cdm 46 ccm 250
ushirika akheri 3 cdm 33 ccm 268
kimundo cdm 63 ccm 181
kimundo 2 cdm 61 ccm 150mfano ni
baada ya matokeo ya mijini mingi kuonyesha cdm wanaongoza, sasa matokeo ya vijijini yameanza kutolewa huku ccm ikiifunika kwa mbali chadema! hii nafananisha na mchezo wa marathon ambako watu huanza taratibu na kuongeza kasi kadri mda unavyoenda....mfano ni "Matokeo ya kata ya akheri.
Nkoanrua1 cdm 192 ccm 60
Nkoanrua 2 cdm 166 ccm 56
Ushirika akheri 1 cdm 70 ccm 115
Ushirika akheri 2 cdm 46 ccm 250
ushirika akheri 3 cdm 33 ccm 268
kimundo cdm 63 ccm 181
kimundo 2 cdm 61 ccm 150mfano ni
vituo 75 cdm 9107 ccm 4409
I see....Huku tukiyapokea matokeo ya awali kwa matumaini, kumbukeni kutangulia sii kufika!. Busanda na Biharamulo ilikuwa hivi hivi, mpaka tunalala usiku wa manane, mji mzima walikuwa wanasheherekea ushindi, kufika asubuhi, CCM ikaibuka kidedea!.
Kwa taarifa tuu, CDF, IGP na Mkurugenzi wa TISS, wako macho usiku kucha huku vijana wa Hosea wakizuga zuga!.
"The end justifies the means!", uchaguzi uliisha!.
Wanabodi kwa kadri matokeo ya awali ya Arumeru yanavyozidi kutoka, vituo vyote vilivyotangaza matokeo ya awali hakuna hata kituo kimoja ambacho CCM inaongoza!.
Inawezekana CCM imekula kipigo cha mbwa mwizi!.
Mimi nilijiaminisha uchaguzi ulisha kwisha kitambo leo ilikuwa ni uthibitisho tuu!.
Hali siyo nzuri polisi wanapiga mabomu ya machozi
Mbona wanamagamba mnaanza kukimbia mmoja mmoja?Kumbe source kubwa ya matokeo ni ITV? naona baada ya ITV kutoendelea Kutoa matokea li sredi limepaya...
Ngoja nilale zangu!!
Vijibweni final results-CCM 1198; CHADEMA 799; CUF 776
Huku tukiyapokea matokeo ya awali kwa matumaini, kumbukeni kutangulia sii kufika!. Busanda na Biharamulo ilikuwa hivi hivi, mpaka tunalala usiku wa manane, mji mzima walikuwa wanasheherekea ushindi, kufika asubuhi, CCM ikaibuka kidedea!.
Kwa taarifa tuu, CDF, IGP na Mkurugenzi wa TISS, wako macho usiku kucha huku vijana wa Hosea wakizuga zuga!.
"The end justifies the means!", uchaguzi uliisha!.
Matokeo yaliyo positive kwa CCM hamuyaweki hapa!!
Adjusted report IV
NO VITUO CDM CCM TOFAUTI 1 Chama 192 60 132 2 Elimu 101 46 55 3 Embaseni A 104 52 52 4 Enguseni A 114 62 52 5 Kata ya Akeri A 192 90 102 6 Kata ya Akeri B 196 56 140 7 Kijiji cha Nguruma 94 68 26 8 Kikatiti 104 62 42 9 Kikuleto Ofisini 104 84 20 10 Kikwea A 142 104 38 11 Kikwea B 109 109 0 12 Kimundo 1 63 181 -118 13 Kimundo 2 61 150 -89 14 Kisalambe 1 110 63 47 15 Kisalambe 2 113 56 57 16 Kisambare A 110 63 47 17 Kisambare B 53 113 -60 18 Kisanda A 11 55 -44 19 Kwalisamba 113 140 -27 20 Kwandua A 60 192 -132 21 Kwandua B 166 56 110 22 Leganga A 146 20 126 23 Leganga B 131 27 104 24 Magadirisho 1 116 37 79 25 Magadirisho 2 111 37 74 26 Maji ya Chai A 130 53 77 27 Maji ya Chai B 105 68 37 28 Maji ya Chai C 115 42 73 29 Maji ya Chai D 118 53 65 30 Maji ya Chai E 105 60 45 31 Makiba 23 95 -72 32 Makiba Majengo 02 93 87 6 33 Makumira A 118 42 76 34 Makumira B 100 42 58 35 Makumira C 92 50 42 36 Makumira D 68 40 28 37 Mawenzi 88 100 -12 38 Mbaseli 84 58 26 39 Mbuguni 132 72 60 40 Misufini A1 209 52 157 41 Misufini A2 195 40 155 42 Misufini A3 208 45 163 43 Mjimwema 4 126 37 89 44 Mjimwema A 144 51 93 45 Mjimwema B 141 33 108 46 Mjimwema C 125 35 90 47 Morive 128 28 100 48 Msitu wa Tembo A 80 76 4 49 Msitu wa Tembo B 98 87 11 50 Mwarua 146 34 112 51 Mwibaru 123 87 36 52 Ngarasero 116 51 65 53 Ngaresamvu 163 140 23 54 Nguruma 94 88 6 55 Nkoanrua 1 192 60 132 56 Nkoanrua 2 166 56 110 57 Nshatu 3 110 74 36 58 Ofisi ya Kata Majengo (Makiba) 75 88 -13 59 Ofisi ya Kata Makiba 95 23 72 60 Ofisi ya Kijiji A 82 128 -46 61 Ofisi ya Kijiji Mbaseni 84 58 26 62 Ofisi ya Kituo Ngaresanbo 163 140 23 63 Ofisi ya maruango A 121 72 49 64 Ofisi ya maruango B 120 63 57 65 Ofisi ya Maruango C 106 80 26 66 S/M Magadilisho A 116 37 79 67 S/M Magadilisho B 111 34 77 68 S/M Mazoezi 1 120 49 71 69 S/M Mazoezi 2 158 50 108 70 S/M Mazoezi 3 127 20 107 71 S/M Mazoezi 4 124 45 79 72 S/M Miembeni 1 103 96 7 73 S/M Migundani A 106 52 54 74 S/M Migundani B 183 101 82 75 S/M Mirirm A 105 88 17 76 S/M Mirirm B 101 57 44 77 S/M Nasura A 79 79 0 78 S/M Nasura B 91 74 17 79 S/M Shiston A 59 100 -41 80 S/M Shiston B 55 88 -33 81 S/M Shiston C 44 79 -35 82 S/M Sinai A 30 94 -64 83 S/M Sinai B 96 188 -92 84 shule msingi Misufini 132 72 60 85 Shule ya Msingi Ambureni 02 194 47 147 86 Shule ya Msingi leganga 142 26 116 87 Sing'isi 1 209 52 157 88 Sing'isi 2 195 40 155 89 Sing'isi 3 208 45 163 90 Tengeru Chuoni 114 24 90 91 Tengeru Hospitali 220 40 180 92 Urafiki 56 28 28 93 Usa River A 142 26 116 94 USA River Shule ya Msingi 111 37 74 95 USA River Sokoni 1 103 29 74 96 USA River Sokoni 2 88 41 47 97 Ushirika 2 166 59 107 TOTAL 11,485 6,468 5,017
Kazi inaendelea
Kaka hata siku moja huwezi kuibadilisha nyekundu kuwa njano fuatilia kwa makini!
Mkuu mngejumlisha matokeo ya vituo including ccm iliposhinda. hii itasaidia kutoa picha halisi