MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
Hakika Pasco wewe ni mnafiki mkubwa.....

Hivi si wewe kuna kipindi ulisema kwamba CCM tayari(mara baada ya kumpitisha Siyoi) imeshinda jimbo la Arumeru na kinachofanyika ni kufuata utaratibu tu.....

Halafu......Hivi ni sahihi kusema CCM imepata kiigo cha mbwa mwizi kwa matokeo ya vituo visivyozidi 100 ilhali jimbo lina vituo zaidi ya 300?....

Hypocrisy???.....
Nilisema na nitaelea kusema, uchaguzi uliisha na leo ni uthibitisho tuu!, lakini kama matokeo ya vituo vyote zaidi ya kumi vya mwanzo, hakuna hata kimoja CCM ilishinda, hiki sio kipigo cha mbwa mwizi?.

Tuendelee kuitana majina na kunyoosheana vidole, wakati wa kuheshimiana ukifika, tutaheshimiana tuu!.
 
Kudadadeki mende (ccm) anaelekea kugeuka miguu juu mgongo chini,,,,hahahahahaha.
 
Hii ni balaa leo! Yaani mpaka server ya JF meelemewa! Kila nijaribu kufungua page nakutana na Data Error! Hongera peoples power!!!!!! Na bado lazima hao CHICHIEMU watafute pa kujificha mwaka huu hapo bado 2015!
Nilidhani ni laptop yangu kumbe naona mtandao umelewa. Pongezi kwa wana JF inaonyesha how successful mtandao ulivyo.
 
"Matokeo ya kata ya akheri.
Nkoanrua1 cdm 192 ccm 60
Nkoanrua 2 cdm 166 ccm 56
Ushirika akheri 1 cdm 70 ccm 115
Ushirika akheri 2 cdm 46 ccm 250
ushirika akheri 3 cdm 33 ccm 268
kimundo cdm 63 ccm 181
kimundo 2 cdm 61 ccm 150"

haya matokeo vipi mbona hayaleti raha ati? au ndo mchakachuo umeanza? CDM msisinzie, magamba hawaaminiki!
 
Nilisema na nitaelea kusema, uchaguzi uliisha na leo ni uthibitisho tuu!, lakini kama matokeo ya vituo vyote zaidi ya kumi vya mwanzo, hakuna hata kimoja CCM ilishinda, hiki sio kipigo cha mbwa mwizi?.

Tuendelee kuitana majina na kunyoosheana vidole, wakati wa kuheshimiana ukifika, tutaheshimiana tuu!.
Wewe ni mnafiki.....Period.

Tena mpotoshaji mkubwa.....
 
...masikitiko ni kwamba waliopiga kura wengi ni wazee na kinamama, na zaidi matokeo mengi tunaypewa ni vituo vya mjini,,,,
 
Nilisema na nitaelea kusema, uchaguzi uliisha na leo ni uthibitisho tuu!, lakini kama matokeo ya vituo vyote zaidi ya kumi vya mwanzo, hakuna hata kimoja CCM ilishinda, hiki sio kipigo cha mbwa mwizi?.

Tuendelee kuitana majina na kunyoosheana vidole, wakati wa kuheshimiana ukifika, tutaheshimiana tuu!.

nimeshindwa kuandika nilichokusudia baada ya kuona habar ITV, hawa wabunge wawili wa chadema hali ni tete!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom