MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
Chadema wamepigana vita vizuri,chaguo mbadala la baba wa taifa,kama angekuwa hai angeshaamia chadema
 
Kumbe source kubwa ya matokeo ni ITV? naona baada ya ITV kutoendelea Kutoa matokea li sredi limepaya...
Ngoja nilale zangu!!
 
Jaman watanzania wote tuiombe chadema mungu wetu anajuwa vile hk chama kitaleta matumain kwetu watanzania. Hallelujah
 
baada ya matokeo ya mijini mingi kuonyesha cdm wanaongoza, sasa matokeo ya vijijini yameanza kutolewa huku ccm ikiifunika kwa mbali chadema! hii nafananisha na mchezo wa marathon ambako watu huanza taratibu na kuongeza kasi kadri mda unavyoenda....mfano ni "Matokeo ya kata ya akheri.
Nkoanrua1 cdm 192 ccm 60
Nkoanrua 2 cdm 166 ccm 56
Ushirika akheri 1 cdm 70 ccm 115
Ushirika akheri 2 cdm 46 ccm 250
ushirika akheri 3 cdm 33 ccm 268
kimundo cdm 63 ccm 181
kimundo 2 cdm 61 ccm 150mfano ni
 
Acha CCM wakome kuwapelekea wameru mkwe wa jamaa. Muhimu kwa wameru ni kulinda kura
 
Kumbe source kubwa ya matokeo ni ITV? naona baada ya ITV kutoendelea Kutoa matokea li sredi limepaya...
Ngoja nilale zangu!!
unalala mapema hivi, lazima unaogopa pressure wewe.
 
Tuwe makini watoa tarifa tusipotoshe umma ukweli ni kwamba mpaka sasa CCM inaongoza kwa mbali mno.CDM kushinda haiwezekani kwani hakuna kura za key board,I mean kura za wana JF hazihesabiwi,sherehe za kumpongeza Sumari zitafanyika A Town.
 
Mpaka hivi sasa chama Tawala kinaonekana kuvitesa vyama vingine vya siasa kwenye Matokeo ya Awali. Siamini kumbe tulikuwa wengi kwenye mikutano ya upinzani kumbe hatukuwa wapiga kura.:kev:
 
Tupeni update na wavijijini mkizubaa tu mabox feki ya kura yanachukuliwa na kutuangusha cdm sala dua na kazi
 
Kura zimeishapigwa, kinachoendelea sasa ni Mchezo mchafu. Ninaanza kupata shaka kuwa CCM wanaandaa kupindua maamuzi ya wana-Arumeru. Kama Matokeo ya udiwani yametoka, ni dhahiri na ubunge lazima yawe yametoka. Japo najua kwa CCM hawawezi kukubali kupoteza pesa walizohonga na jimbo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom