Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

Kata nzima ya Lusaunga hesabu imekamilika vituo vyote vimeketa matokeo na Chadema wamechukua kat ile kwa tifauti ya kura 270.Huko kazi imeisha bado kazt zingine .Nadhani kama sijakosea jina la Kata basi ni hivi hivi .
 
msije mkaanza shamra shamra mapema kabla ya kupata matokeo rasmi. CCM ni chama kubwa yanaweza kutokea maajabu sekunde za mwishoni kabisa na mambo yakabadilika kabisa.

hizo percent 51 vs 48, gap lake ni kubwa kiasi gani? maana kama gap ni dogo wizi ndani ya vituo vinne vya vijijini vinatosha sana kufunika hilo gap.
 
Mpaka hivi sasa sijaamini matokeo yoyote kwa sababu ni porojo tu ambayo inaandikwa humu. Hata kituo kimoja hatujapata matokeo yake. Nitakua tomas mpaka nipaguse penye kovu.

Macinkus
 
Presha inapanda presha inashuka, popcorn zimepoa haziliki. Matokeo kamili bado?

Nakwambia sasa mimi ndo kabisaaa jicho kodo kwa screen! jamani leteni hayo matokeo wengine shell/GAPCO/OILCOM/ ohhh BP mafuta yanajaa karibia yataanza mwagika lol!
 
msije mkaanza shamra shamra mapema kabla ya kupata matokeo rasmi. CCM ni chama kubwa yanaweza kutokea maajabu sekunde za mwishoni kabisa na mambo yakabadilika kabisa.

hizo percent 51 vs 48, gap lake ni kubwa kiasi gani? maana kama gap ni dogo wizi ndani ya vituo vinne vya vijijini vinatosha sana kufunika hilo gap.
Mabadiliko yoyote yanawezekana, lakini ushindi uwe wa CCM au CHADEMA utakuwa mwembamba ambao unauma sana. Nasikia imebakia kata moja ambapo CCM ni LAZIMA washinde vinginevyo mambo yatakuwa mabaya kwao.

Mpaka sasa matokeo yako hivi...

CHADEMA kura 14,500

CCM kura 14,115

Bado kuna vituo 6 tu vimebaki.

Pasco anaomba radhi kwani network imekuwa tatizo hivyo anaweza kurejea hapa baada ya saa moja hivi.

Nitawafahamisha kinachoendelea punde...
 
Inasemekana wananchi wengi wanatokwa machozi ya furaha kwani hawakutarajia CHADEMA wangeweza kushinda, lakini bado matokeo rasmi hayajatangazwa.

Viongozi wa CCM walio kwenye vituo wanaonekana kupigwa na bumbuwazi...
 
Mabadiliko yoyote yanawezekana, lakini ushindi uwe wa CCM au CHADEMA utakuwa mwembamba ambao unauma sana. Nasikia imebakia kata moja ambapo CCM ni LAZIMA washinde vinginevyo mambo yatakuwa mabaya kwao.

Mpaka sasa matokeo yako hivi...

CHADEMA kura 14,500

CCM kura 14,115

Bado kuna vituo 6 tu vimebaki.

Pasco anaomba radhi kwani network imekuwa tatizo hivyo anaweza kurejea hapa baada ya saa moja hivi.

Nitawafahamisha kinachoendelea punde...

Je hivyo vituo sita vina wapiga kura wangapi??
 
Mpaka sasa matokeo yako hivi...

CHADEMA kura 14,500

CCM kura 14,115

Bado kuna vituo 6 tu vimebaki.
kwisha kazi.....
kitu ninachoweza kusema CCM haikubaliki b'mulo hata wakishinda.......
 
Mabadiliko yoyote yanawezekana, lakini ushindi uwe wa CCM au CHADEMA utakuwa mwembamba ambao unauma sana. Nasikia imebakia kata moja ambapo CCM ni LAZIMA washinde vinginevyo mambo yatakuwa mabaya kwao.

Mpaka sasa matokeo yako hivi...

CHADEMA kura 14,500

CCM kura 14,115

Bado kuna vituo 6 tu vimebaki.

Pasco anaomba radhi kwani network imekuwa tatizo hivyo anaweza kurejea hapa baada ya saa moja hivi.

Nitawafahamisha kinachoendelea punde...

Hivyo vituo sita vilivyo baki hali yake ikoje? yaani ni ngome ama mchanganyiko?
 
Mabadiliko yoyote yanawezekana, lakini ushindi uwe wa CCM au CHADEMA utakuwa mwembamba ambao unauma sana. Nasikia imebakia kata moja ambapo CCM ni LAZIMA washinde vinginevyo mambo yatakuwa mabaya kwao.

Mpaka sasa matokeo yako hivi...

CHADEMA kura 14,500

CCM kura 14,115

Bado kuna vituo 6 tu vimebaki.

Pasco anaomba radhi kwani network imekuwa tatizo hivyo anaweza kurejea hapa baada ya saa moja hivi.

Nitawafahamisha kinachoendelea punde...

Mkuu
Hapo lolote linaweza kutokea. Tofauti ya kura 300+ ni ndogo mno, ambayo inaweza kuzibwa na kura za kituo kimoja tu kati ya hivyo 6.

Au ndiyo psychological game imeanza?
 
Back
Top Bottom