Habari zenyu jf binafsi mimi nashangaa sana mitandao ya kijamii kutoa matokeo ya uchaguzi igunga hali kadhalika tume ya uchaguzi haijatangaza hata hivyo matokeo yanaweza kuchelewa kutangazwa kutokana na ushindani mkali dhidi ya cdm na ccm kwa hiyo ndugu zangu kataeni kupewa matokeo ambayo hayana uhakika!
Upinzani mkali hauwezi kuzuia matokeo yatangazwe sema ni udhaifu wa tume, tunaambiwa mvua lakini mimi ninavyojua mvua iliyonyesha isingesababisha matokeo hadi sasa yasitangazwe, ni hofu na mshitko juu ya mategemeo na maelekezo waliyopewa!