Matokeo bado hayajatangazwa, Igunga!

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,654
Habari zenyu jf binafsi mimi nashangaa sana mitandao ya kijamii kutoa matokeo ya uchaguzi igunga hali kadhalika tume ya uchaguzi haijatangaza hata hivyo matokeo yanaweza kuchelewa kutangazwa kutokana na ushindani mkali dhidi ya cdm na ccm kwa hiyo ndugu zangu kataeni kupewa matokeo ambayo hayana uhakika!
 
Upinzani mkali hauwezi kuzuia matokeo yatangazwe sema ni udhaifu wa tume, tunaambiwa mvua lakini mimi ninavyojua mvua iliyonyesha isingesababisha matokeo hadi sasa yasitangazwe, ni hofu na mshitko juu ya mategemeo na maelekezo waliyopewa!
 
na hii hali ikiendelea vuruga zitazuka kwa 7bu saa 24 zimekwishapita tume bado haijatangaza mshindi je hatuoni ndo uchakachuaji huo?
 
Jamani nani asiyejua jinsi tume inavyofanya mambo kwa kupewa miongozo na usalama wa taifa? Bado hawajaruhusiwa kutangaza matokeo.
 
Inamaana kuanika matokeo ni mpaka wapewe peremende? Kama mambo hayajawanogea, basi wasilazimishe! Wawaachie wavaa magwanda....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom