CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Kwa wadau na wafanya biashara wote wa matunda napenda kuchukua nafasi hii kuwajulisha kwamba kuanzia tar 20.05.2013 ntakua na mzigo wa kutosha wa matikiti maji.Natajia kua na takribani pc 110,000 zenye uzito wa takribani tani 750!!
Mzigo upo mikese-morogoro.
Nauza kwa jumla.
Ni matikiti matamu sana yenye nyama nyekundu na sukari nyingi,ni aina ya hybrid meusi mang'aavu yakiwa na nyama nyekundu ndani na maji mengi.
Uzito wa kila tunda kwa wastani ni kuanzia 5-8kgs kwa kila tunda.
Ntaweka picha kuanzia tar 18.05.
Kwa mawasiliano zaidi piga namba ya ofisi:0719 087330 mr Ally.
Kwa wafanya biashara watakao chukua mzigo mkubwa ntawapata ofa nzuri.