✅Second attempt:
Tatizo ni key board yangu nimeset isiwe na mambo mengi sasa alama za hesabu zinakuwa,shida kuandika hata kuweka alama kama ya pai inakuwa shida ...ilo swali lako dogo sana sema mlolongo mrefu.Unaweza ku- type kwenye device yako, unayotumia ku post JF.
Sasa mbona ukumalizia 21cm✅Hilo ni jibu sahihi, ukikokotoa 49(2 - π /2) approx yake ni 21.03cm squared.
43Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Kihisabati, unapokuwa una deal na irrational constants kama √2, e au π unatakiwa kuziacha hivyo hivyo kama symbols. Hii ni kwasababu zifuatazo:Sasa mbona ukumalizia 21cm✅
let ∆, o and rectangle symbol be x,y and z respectively.
Mimi kwenye hisabati mkuu sio mahiri kabisalet ∆, o and rectangle symbol be x,y and z respectively.
X +y = 2x+z
y = x+z... (i)
and
y = 5x...(ii)
Substructing eq (ii) from (i)
0 = -4x + z => z=4x
Therefore 5z = 20x
SInce x represents blue balls we need 20 blue balls to balance our scale.
20 blue balls
25 hesabu kama hizi utumii peni
Sasa utajuaje kama mtu kapatia au kakosea, either way maswali yako yanafikirisha, wengine tumegoma kuzeeka. we like our brains to stay young.Mimi kwenye hisabati mkuu sio mahiri kabisa
Umepata wapi hii value wakati uki formulate equation unapata two variables huku ukiwa na equation moja?25 hesabu kama hizi utumii peni
Siyo kweli hesabu hipo sahihi jibu ni 25 tena utakiwi kutumia hata pen...wewe hesabu ngumu unapata ila nyepesi zinakutatiza😁😁 ngoja niku eleweshe hapa ndiyo ulipo kwama kujua kuwaUmepata wapi hii value wakati uki formulate equation unapata two variables huku ukiwa na equation moja?
let W = white ball and
R = red ball
2W+R=3R+30
Subtract R from both sides:
2W=2R+30
W=R+15
Tuna equation moja na variables mbili, tunahitaji informtion zaidi ku solve hii.