Math challenge

Ok. Kumbe 5×(1+(1+1)) si sawa na 5(1+(1+1))?? I thought ukiondoa tu alama ya mabano baada ya zilizopo kwenye mabano automatically alama ya kuzidisha inakuwepo.
Wanakudanganya ni sawa
a(b+c)=a×(b+c) hii ni hesabu moja
 
L
kwa hiyo hap wewe kwa akili yako ukajaji kuwa 36 ndiyo imekosea na ya 4 ndiyo imepatia kwa sababu gani ? Pia siyo AI zote ni zakuaminika ziko zingine za uchochoroni jibu sahihi ni ilo la gpt sasa iulize kwanini jibu siyo 4 itakupa fafanuzi...endelea kutafuta vyanzo zaidi
 
A÷(b(c+y))=unajua maana ya hii? Hii ndiyo hufanya unavyo fanya wewe hata kwenye calculator utapata jibu kama lako
 
Nataka nikuoneshe makosa hizi LLM kama chatGPT kwenye math reasoning. Hapa nimeiuliza kama 87954213647 ni prime number, ona ilivyo nijibu.



 
Tatizo lako ni kushindwa kuwa mdadisi ulitakiwa kuichareji kuhusu unachujua wewe tofauti na inavyo sema yenyewe ...unaweza kudhani imekosea kumbe wewe ndiyo kichwa panzi


Hilo la kudadisi nilishalifanya kwa kuiambia kuwa "7 is not a factor" na utaona hapo kwenye google calculator nilipofanya simple division. Sasa nani hapo kichwa panzi kama siyo wewe?
 
View attachment 3319863
Hilo la kudadisi nilishalifanya kwa kuiambia kuwa "7 is not a factor" na utaona hapo kwenye google calculator nilipofanya simple division. Sasa nani hapo kichwa panzi kama siyo wewe?
Hayo mambo ya factor mimi haya nihusu mimi nazungumzia hoja ile ya kwanza kwa hiyo Google calculator ndiyo ilikupa jibu tofauti na mimi nilivyo sema ..... dalili ya kwanza ya kwamba ujui hesabu ni kushindwa kujua logic ya hesabu nilikuulizeni kwanini BODMAS iwe ilivyo m amkunijibu ...sasa nataka unijibu je ikiwa njia niliyo kutoa mimi ndiyo sahihi wewe utasemaje baada ya hapo ....
 
Wewe ulihoji yaani AI zote zikosee? Kwa kusema hivi;
Yaani calculator zote ulimwengu zikosee na AI zote zikosee at same time? Na mimi genius nikosee ...unajua madhara ya computer kukosea hiyo hesabu kiinjinia?
Na mimi nikakuonyesha kuwa AI zinakosea na nikakupa AI models mbili tofauti, moja ya general purpose chatting (chatGPT) nyingine iliyotengenezwa kwaajili ya hisabati zaidi (Mistral).

Sababu ya kukuletea habari za prime factor ni kukupa mifano zaidi jinsi AI zinanyohangaika kutoa jibu sahihi katika mamba fulani ya hisabati.

kama hujaelewa logic ya niliyoeleza basi siwezi kukusaidia, baki na ukilaza wako.
 
😁😁😁Calculator zote zikosee na AI zote zikosee swali ilo ilo moja tu kwa hiyo wasomi wote duniani waliounda Calculator awakuona ilo kosa ila wewe.
Kubali tu kuwa,ukikuta swali la hivyo njia ni hiyo niliyo kupa
60÷5(1+2)=36

Kamwe usije fanya tofauti...kawatafute waliokufunza hesabu uwaulize maana mimi uwezi kuniamini ..kama nimekupostia video hadi za youtube zote zinaelezea hiyo kesi bali unawabishia wewe itakuwa ndiyo wale wamezoea kufundisha hadi na chaki na kiboko 😁
 
Uzi unanikumbusha mbali sana enzi hizo kuna mkali humu anaitwa mwifwa alikuwa yupo vizuri sana kwenye kama siyo chemistry basi ni physics ile

Ule uzi wao nilikuwa naupenda sana sijui ulipotelea wapi na huyo Mwifwa sijui kaendaga wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…