Huyu jamaa uongo waje ulianzua hapa 😁 kutafuta eneo la mche duara ulio wazi pande zote formula sijui kaokota wapi ..haya ni madhara ya kukrem formula bila ya kujua logic yake 2πr ni mzunguko wa duara yote ukizidisha na kimo h ...unapata eneo la mche duara. Akaya yule kumuunga mkono kuwa yupo sahihi