Dhumuni la mabano ni kushikilia terms kama kitu kimoja (monomial). PEMDAS na BODMAS zote zinasema unaanza na mabano na ili ufungue mabano lazima utumie distrbutive law. Sasa mbona una violate hiyo law.
❌❌❌❌❌❌9÷3(6x4÷8)
We open the parenthesis. Since x and ÷ are in the same precedence we start from left to right ,(x) then (÷)
9÷3(6x4÷8)
9÷3(24÷8)
9÷3(3) notice, we're not done with opening the parenthesis
9÷9
1
9÷3(6x4÷8)
We open the parenthesis. Since x and ÷ are in the same precedence we start from left to right ,(x) then (÷)
9÷3(6x4÷8)
9÷3(24÷8)
9÷3(3) notice, we're not done with opening the parenthesis
9÷9
1
☠☠☠☠☠☠2(2+2) ni kitu kimoja, yaani 2+2 ni coefficient ya 2. Hivyo ni lazina umalizane na biashara yote kabla haujahangaika na kugawanya. Pyaar na jibu lake la 1 yuko sawa.
Mmmh hii kitu ina solution kweli?Challenge ya kufunga siku.. Wakali wa vibox uwanja wenu huu.View attachment 3314290
B+CxJ=B+(CxJ)
Mmmh hii kitu ina solution kweli?
Kesho nikitulia nitakuelewa, sahivi akili imechangamana na maji, ila umeeleza vizuriNi 25
Ukiangalia pattern vizuri utaona hizi namba za nje kwenye (-ve) diagonal, zina uwiano wa 6/7
30/35 = 6/7
12/14 =6/7
za ndani sqaure roots zake zina uwiano wa 6/7
(36/49) = 6/7
Tukija kwenye (+ve) diagonal zile za nje, uwiano wake ni 2/5
12/30 = 2/5
14/35 = 2/5
Hivyo tunaweza kuhitimisha kuwa square root za ndani zina ratio ya 2/5
Let the unknowned be x
square root of (4/x) = 2/5
4/x = 4/25
x = 25
Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
2Challenge ya kufunga siku.. Wakali wa vibox uwanja wenu huu.View attachment 3314290
(30+12+14+35)=(36+4+49+x)
Ni 25
Ukiangalia pattern vizuri utaona hizi namba za nje kwenye (-ve) diagonal, zina uwiano wa 6/7
30/35 = 6/7
12/14 =6/7
za ndani sqaure roots zake zina uwiano wa 6/7
(36/49) = 6/7
Tukija kwenye (+ve) diagonal zile za nje, uwiano wake ni 2/5
12/30 = 2/5
14/35 = 2/5
Hivyo tunaweza kuhitimisha kuwa square root za ndani zina ratio ya 2/5
Let the unknowned be x
square root of (4/x) = 2/5
4/x = 4/25
x = 25
Condition gani iliyokufanya uhitimishe (30+12+14+35)=(36+4+49+x)(30+12+14+35)=(36+4+49+x)
91=89+x=91-89=2
X=2
Brain conditionCondition gani iliyokufanya uhitimishe (30+12+14+35)=(36+4+49+x)
Wewe kwanza umekimbia mjadala wa mabano 😁Condition gani iliyokufanya uhitimishe (30+12+14+35)=(36+4+49+x)
Sijakimbia, nimekuuliza kwa nini unaivunja distributive law, umeshindwa kujibu.Wewe kwanza umekimbia mjadala wa mabano 😁
Tatizo lako ujui mantiki ya kuwepo kwa BODMAS wewe unafuata tu muongozo ..... bali mimi ninajua kwanini mabano yanapaswa kuwa mwanzo ..najua kwanini baada ya mabano inafuatia gawanya na kwanini baada ya gawanya inafuatia zidisha .....kwenye jumlisha na toa usizingatie sana kuna makosa ...yaana (JUTO) mimi napenda zaidi kutumia nano (MAGAZI) bila ya (JUTO) kuna sababu ya kufanya hivyo ...kuhusu mabano nitakuonyesha kosa lako linatokana na kutokujua sababu ya kuwepo kwa BODMAS mfanoSijakimbia, nimekuuliza kwa nini unaivunja distributive law, umeshindwa kujibu.
Unaijuwa distributive law lakini?Inapokuwa 12÷6=12/6 yaani hiyo ni hesabu ya sehemu ni 12 over 6 sasa ukichukua hiyo 6 kufanya kuzidisha na 2 na 4 unekosea kwa sababu hiyo 6 ipo chini ya 12
Tatizo lako utqki kujifunza rudia hiyo comment yangu kuna fafanuzi pia mabano yanafanya kazi ndani ...tumia hata calculator au google ilo swali au jaribu kutumia AIUnaijuwa distributive law lakini?
Nimeenda youtube kukusahidia maana ujui logicUnaijuwa distributive law lakini?
Brother, hizo AI models sisi tulianza ku train neural networks toka 2010 kwaajili ya kubreak chaptcha. Hizi LLM bado haziko vizuri kwenye hisabati, zinamakosa mengi sana. Jaribu kutumia tofauti tofauti kama chatGPT, Deep seek, Liama, Claude, 03-mini, Mistral na Gemini utaona zinatoa majibu totauti.Tatizo lako utqki kujifunza rudia hiyo comment yangu kuna fafanuzi pia mabano yanafanya kazi ndani ...tumia hata calculator au google ilo swali au jaribu kutumia AI