ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,378
- 118,798
4x = 2x + 30
4x = 2x + 30
Safi mkuu!Ni wakitambo sana hata hapa JF tuu na miaka 17
🙏🏽🙏🏽4x = 2x + 30
Hongera sana mkuu.Ni wakitambo sana hata hapa JF tuu na miaka 17
Jaribu hiyo moja tu kaka!!Hizi hesabu za X sizipendi kaka nini
Najua vizuri macho yalinichanganyaEquation
4x+y=180
y+2x+30=180
PerfectX = 105
Unakuwa na faru John pembeni😅Hapana kichwa kitapata moto sasa hivi😂
Zab 1:1Mimi yangu ya ulozi wengi hawaikubali😂😭
Tupo na watoto wetu kumbe😅😅Hahaha!
Form 6, 2012