ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,378
- 118,798
❌️4x+2x+30=180
❌️4x+2x+30=180
✅️X=15
Nimeikunjua tu sija solve 😋 nimewaachia wengine wamalizie
Hizo angles mbili hazikupi sum ya 180°Nimeikunjua tu sija solve 😋
Ngoja niucheki mchoro maana nimeona vimishale kwenye mchoro kama siyo hivyo pia ni rahisi tuHizo angles mbili hazikupi sum ya 180°
Mara ya mwisho kufanya haya maswali ni zaidi ya miaka 30 iliyopita.
Unamaanisha factorial x?Tafuta thamani ya X!
Sawa nimeona ngoja niweke equation sawa
Kumbe na wewe wa longi mkuu, hata mimi nina 25+Mara ya mwisho kufanya haya maswali ni zaidi ya miaka 30 iliyopita.
❌️
Those are corresponding anglesNgoja niucheki mchoro maana nimeona vimishale kwenye mchoro kama siyo hivyo pia no rahisi tu
Equation
Haina shida, Kila mtu ana karama yake.Mimi ndugu yangu kwenye hisabati ni kihiyo😂
Nimesha weka equation sawaThose are corresponding angles
Those are corresponding angles since the two lines are parallel, angle A and B are equal.Equation
4x+y=180
y+2x+30=180
Ni wakitambo sana hata hapa JF tuu na miaka 17Kumbe na wewe wa longi mkuu, hata mimi nina 25+