Dr PL
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 558
- 837
30Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Naogopa kusema Z ni 25 nitakosea nipigwe kama yule dalali 😂😂
Leta maujanja Chief
Namba ya chini amejumlisha na Square 11²=11+2=13Leta maujanja Chief
11 +²=13Do you mean;
121
1….(2+1)
13
Sio?
Basi mie hiyo 1 ya mwanzo niliilia ugali😁Yes...Ndiyo
🤜🤛Jibu: (B) 1