Watakuja mwaya
Wanajuana vilaza 😹😹
Chama matopeni, hebu fanya jambo tunajua Chadema mko vizuri..!! 😹😹😹Mama weee 😂
😅😅😅Wanajuana vilaza 😹😹
Hatuoni vizuri hili swaliFanyeni na hili sio mnafanya maswali ya + na -
View attachment 3312200
Zoom outHatuoni vizuri hili swali
😹😹😹 Hadi msukuma??😅😅😅
Jamani sisi kwetu Lumumba hamnaga hayo
Leo una nini? 😂😂😂😹😹😹 Hadi msukuma??
hayo ni majawabu ya maswali ya multiple choice na true and false na sio math challengeSio ‘NO REFORMS, NO ELECTION’ 😹😹😹

Ukikosea ukubali siyo unabisha tu mbona wengine tulikosea tukakubaliSawa mkuu,
Japo hatupo hapa kushindana madarasa.
Duh, mkuu🙌Ukikosea ukubali siyo unabisha tu mbona wengine tulikosea tukakubali
Wacha ujinga hesabu siyo imani ...hesabu ni kitu kamili.Duh, mkuu🙌
Kila mtu asimame anapoamini.
Vyovyote unavyofikiri mkuu!Wacha ujinga hesabu siyo imani ...hesabu ni kitu kamili.
60Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Mxieeeeww 😹😹hayo ni majawabu ya maswali ya multiple choice na true and false na sio math challenge![]()