Mateso yangu

Mngekua na huruma na watoto wa mitaan wakiume iv basi dunia ingekua a better place to live,,,sema ndo ivo mnajifanya mna huruma sana when it comes to papuchii

Teh teh teh, chezea nguvu ya papuchi wewe! Inavuta km mbuzi kwa chatu.
 
Teh teh,watu wana comments zenye uchachu kwa kusoma tu,sijui ingekuwa tunasikia haya maandishi ingekuwaje.

Yaani kuna watu kuwakuta wamecomment kitu positive sahau, tena wana comment zinakera hatari na matusi kila mahali ndio viunganishi vyao.
 
Yaani kuna watu kuwakuta wamecomment kitu positive sahau, tena wana comment zinakera hatari na matusi kila mahali ndio viunganishi vyao.

Tu - note down hizo id zao..siku wakileta thread hata ikiwa njema vipi,ni pumba tu kwa kwenda mbele. Hakuna namna
 
Tu - note down hizo id zao..siku wakileta thread hata ikiwa njema vipi,ni pumba tu kwa kwenda mbele. Hakuna namna

Teh teh teh teh! Kuna wale alowataja paulo, aisee yaani wana matusi hatari
 
dah uzi unatembea kwa episode moja tu, unanikumbusha ule uzi wetu kule celebrities
 
Hahaha. Jamaa uwe hata unasifia siku moja moja basi. Machungu tu kila siku, ni nini eroo?

Halafu kuna Id moja inajiita Sonko nadhani, nayo full bitterness. Kwa fasi hiyo, huwa naifanisha na yako arif.

walamba lips na masistaduu koko wana pigo flan za kidwanzi.,afu wenyewe hawajisanukii!...na stress za maisha yalivyotupiga nazo zinachangia "bitterness"!
Ngoja nikamuone mama muuza kwanza!
 
Haina Uhalisia? Kweli Mmezoea Umbea... Kushindwa kwa Lowassa kusiwafanye muwe machizi..... Haina Uhalisia Sasa umesoma na kucomment Ya Nini? Baraza la Vichaa Chadema
Hapo ndio umeharibu, siasa na jukwaa hili wapi na wapi.? Usitake kutochokoza bana!! Wewe endelea na story Zako! We don't believe in fictions!!
 
Yoooooo amu long time kitambo na nitazidi kuwepo!!!!!
Inaonesha we ni kinjuka!!!!!

Kuwa Old member hakukufanyi huwe na haki kuliko wengine. Hujapenda riwaya yake,mrekebishe ili ajifunze alipokosea,sio unaleta chuki binfsi.

Ila kiukweli sijaona faida ya ww kuwa old member,maana upo humu kitambo lakini wala hujastaarabika. Inaonekana unaingiaga humu kuondoa stress zako na wala sio kujifunza kitu chochote.
 
Last edited by a moderator:
Haina Uhalisia? Kweli Mmezoea Umbea... Kushindwa kwa Lowassa kusiwafanye muwe machizi..... Haina Uhalisia Sasa umesoma na kucomment Ya Nini? Baraza la Vichaa Chadema
kwa maneno haya umechokonoa hisia za watu...story yako MBAYAAAAAA
 

Kama kitu hukipendi ni bora upite tu, mbona sisi wengine hatukoment sana, tunasoma kimya kimya tu
 

Kula repo yanguuu...
 
Usiendelee tena! Na akili zako za tamaa ya ngono unajuwa bhana ukiwa na minyege usiku uku mvua inanyesha histoshe una demu basi utaji lesi sana ata demu mbovu utamuona mzuri ata mtoto mdogo wakike sawa na mwanao utamuona mkubwa .babu kuna jera muulize babu seya shauri yako wewe jiendekeze tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…