Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,655
Nakubaliana na Wewe Mkuu Miaka ya Nyama haya Mambo yalikuwepo sana tena sana...unakuta kunamidume kama shule Yao.utakuwa umesoma day wewe, miaka ya zamani boarding ni shida nakumbuka kulikuwa na msukuma 1 wa shy aliwahi nipa sent 50 miaka ya 91 milambo tabora nikanunue kipande ki1 cha sabuni, sigara 1 na nimrudishie change yake shs 20, ilibidi nitoe tu pesa yangu nikamnunulie, na usipofanya unaweza ukaacha shule, njuka aisee ilikuwa ni mateso sana
Nakubaliana na Wewe Mkuu Miaka ya Nyama haya Mambo yalikuwepo sana tena sana...unakuta kunamidume kama shule Yao.
Miaka ya 2000-Mpaka wakati huu haya Mambo yamekuwa yakipungua kwa kasi kubwa.
Form One unaambiwa huna Damu hivyo ni kichapo tu.
Miaka ya late '90 bullying ilikuwa kubwa sana huko boarding. Kwa waliosoma Kwa Lule - Namanga upande wa Kenya watakumbuka mateso ya ' mono' dah camp ilikuwa ngumu ile, life utasema upo concentration camp flani.. survival for the fittest! ubabe, mabavu, machozi, vilio.. tho at last we made it!
Nimesoma hapo 1988-1991bweni langu lilikuwa Nyerere na lilishika nafasi ya Kwanza kwenye usafi kwa miaka yote minne nilikokuwa hapo, huku Mobutu lilishika mkiammmmmh hii hali ilipata kutokea mafamba boys a.k.a gambian boys nlishuhudia njuka wa fm5 akila mateso toka kwa mbabe wa fm4....hatare sana
Ha ha ha Geseco tulikua tunajiita open university , bangi mnashare na walimu huyo anayesema kua ni ubwege kua mnyonge angekuja achezee bakora za Geseco *****,yule mkuu wa wilaya aliyewachapa walimu kanali mnali alipigwa jiwe hana hamu na Geseco ***** ....namkumbuka Mwalimu MaushiKweli kabisa ndugu hawa watu wamesoma day school. Geita (GESECO) nikiwa form one nilikuwa nafua hadi nguo za maninja.
ukishajua huyu ni mtu wa namna gani. haya ndo majibu ya kiutu uzima.Poa mkuu
mazingira uloyakuta yangeku'shape, na wala usingefanya chochote cha tofauti...Basi ilikuwa hatari sana....Mimi wangeniua tu nadhani
Mie namkumbuka Mwl. Father na muhuni Shebby mzee wa moshi (sigara) bila Kumsahau Mwal. aliyekuwa anapendwa na kulindwa nae ni mwalimu Tangalo /babuHa ha ha Geseco tulikua tunajiita open university , bangi mnashare na walimu huyo anayesema kua ni ubwege kua mnyonge angekuja achezee bakora za Geseco *****,yule mkuu wa wilaya aliyewachapa walimu kanali mnali alipigwa jiwe hana hamu na Geseco ***** ....namkumbuka Mwalimu Maushi
Babu mzee wa language daaa ile shule aiseee hatari sana imenifundisha maisha....kuna Headmaster mmoja hivi alitimuliwa ye akilewa baa wakimzingua anakuja kugonga kengele SAA name anatuambia wanajeshi wangu eeeh twendeni tukalianzishe baa flan wamenizingua [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mie namkumbuka Mwl. Father na muhuni Shebby mzee wa moshi (sigara) bila Kumsahau Mwal. aliyekuwa anapendwa na kulindwa nae ni mwalimu Tangalo /babu
Ile Shule ilikuwa chuo cha kijeshi mkuu, ukitoka hapo bila kuwa mlevi, malaya na mvuta bangi basi umshkru mungu, mie yote niliyaepuka ila niliteswa sana form one kipindi hicho kulikuwa na ninja mmoja anajiita Dear mama!!. Maisha ya GESECO ndicho chanzo cha mimi kuwa jasiri kuzamia nchi za Ng'ambo. Unakumbuka kile kipindi cha popo bawa alivyokuwa anawakaba koo na chanzo chake?Babu mzee wa language daaa ile shule aiseee hatari sana imenifundisha maisha....kuna Headmaster mmoja hivi alitimuliwa ye akilewa baa wakimzingua anakuja kugonga kengele SAA name anatuambia wanajeshi wangu eeeh twendeni tukalianzishe baa flan wamenizingua [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nimeona wengi wamekupa like za tick lakini nakupa LIKE!!!Hujasoma Boarding wewe! Mnasoma hizi Shule za kushindia chips hizi hukutani na mateso ya njuka!
very interesting bro me nlkua pale 2002-2005 bweni la mandelaNimesoma hapo 1988-1991bweni langu lilikuwa Nyerere na lilishika nafasi ya Kwanza kwenye usafi kwa miaka yote minne nilikokuwa hapo, huku Mobutu lilishika mkia