Mateso ya Mdude Nyagali ndani ya kuta za Gereza la Ruanda

Lkn pia bro tutumie lugha za busara hata tunapowakosoa watu tusiokubaliana nao,lugha ngumu na zenye ukakasi kuleta mgogoro,hata km ni ktk familia,mdude alivuka kiwango,
Mie sina shida kama alitumia lugha ya kuudhi au matusi changamoto ni kesi ya madawa inaingiaje hapo?

Yaani mtu kakuibia mke unampachika murder case ni haki kweli? Kwanini asipewe kesi inayokaribiana na kosa lake mfano cybercrime ili hta mkimkaliza mahabusu nusu mwaka kama Lema it's better kuliko kesi ya madawa ambayo anakuja kuachiwa baada ya miaka 6!! Sio sawa kwa kweli tusiunge mkono hili
 
Nadhani ungeweka picha ya Mdude badala ya Pambalu ingependeza zaidi!
IMG_20210415_082844.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Convention against Torture and Other Cruel, Inhuman or Degrading Treatment or Punishment is an international human rights treaty, under the review of the United Nations, that aims to prevent torture and other acts of cruel, inhuman, or degrading treatment or punishment around the world.

Kuna watu wanatakiwa kufikishwa kwenye Mahakama za Kimataifa na wengine wawekewe vikwazo
 
Wapumbavu woote wamejaa ngeo vichwani na usoni.lkn wenye hakika woote wana sura zao halisi.mdude nyangali anapata stahiki yake,tuache ushabiki,mdude alikuwa anautumia vibaya ndomo wake,na mdomo uliponza kichwa,wachina wana msemo mmoja,mdomo ni siraha kubwa sn ukiutumia vzr unaweza kujiokoa katkati ya jeshi kubwa la wanajeshi 1000,lkn pia mdomo ukiutumia vibaya unaweza kupoteza kichwa chako,
Hata mwendazake mdomo ulimpomza sana.
 
Mie sina shida kama alitumia lugha ya kuudhi au matusi changamoto ni kesi ya madawa inaingiaje hapo?

Yaani mtu kakuibia mke unampachika murder case ni haki kweli? Kwanini asipewe kesi inayokaribiana na kosa lake mfano cybercrime ili hta mkimkaliza mahabusu nusu mwaka kama Lema it's better kuliko kesi ya madawa ambayo anakuja kuachiwa baada ya miaka 6!! Sio sawa kwa kweli tusiunge mkono hili
Kuna mahari hujanielewa vzr bro,unaweza ukawa na madai ya haki,ila lugha yako ikawa ya kejeli na dharau,wenye mamlaka wanatumia mamlaka yao,ukipungukuwa hekima na busara,inakula kwako,mfano mimi na wewe hapa tumetofautiana kimtizamo,lkn mbona tunakubaliana kutokukubaliana?, mbona wewe hujatumia lugha ngumu juu yangu?,na mimi mbona sijatumia lugha zenye kukera dhidi yako,mbona tunajadiliana kwa staha na kuheshimuana?,
 
Jamaa alikuwa na followers wengi FB maana alikuwa anatema madini hatari!! Ajabu hao wafuasi wake hata kumchangia sabuni tu hawezi, Nashauri akitoka lupango apewe uenyekiti wa vijana CHADEMA! Maana ana akili kama za Abdul Nondo wa ACT
 
Kashahukumiwa
Ndiyo nani huyo kwanza? Sasa kama alishahukumiwa si atumikie kifungo chake kwa makosa aliyoyafanya au? Sisi inatuhusu nini? Kama aliua mtu/watu na amehukumiwa huko jela sisi wananchi inatuhusu nini? Au anatuletea maji safi au hospitali huku vijijini? Barabara je.. au ni fundi ujenzi muhimu mpaka tupoteze muda kumfikiria kwamba anahitajika kutuboreshea miundombinu na huduma bora kwa wazee huku vijijini?
 
Back
Top Bottom