Material wife ni mwanamke wa dezain gani?

Material girl ni wadada warembo wanaoishi fake life,huyataka maisha ya juu na huigiza kuyaishi lakini kwa kujiweka kwa wanaume walionazo.nahuendeshwa na tamaa zao
 
Habari zenu watanzania wenzangu!!ebana nimekua tu nikickia watu wanasema mdada flani ni material wife,lakini cjabahatika kujua hasa sifa znazowafanya waitwe hvo.tafadhali kwa yeyote anaejua sifa za hao material wife azinimwagie hapa..swali la nyongeza,huwa wanachakachulika?over.
Ni mwanamke wa kisukuma, kiyao au kiha
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom