Material wife ni mwanamke wa dezain gani?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Habari zenu watanzania wenzangu!!ebana nimekua tu nikickia watu wanasema mdada flani ni material wife,lakini cjabahatika kujua hasa sifa znazowafanya waitwe hvo.tafadhali kwa yeyote anaejua sifa za hao material wife azinimwagie hapa..swali la nyongeza,huwa wanachakachulika?over.
 
Material wife ni wanawake ambao,wanafaa kuolewa,yani wenye sifa za kuitwa mke wa fulani.daah,kuchakachulika ni wagumu sana,kwa sababu wameweka ndoa mbele sana na wanamalengo na maisha yao.
Ukitaka kumchakachua,Mvike pete.atakuamini kinoma,au umweke close na ndugu zako au marafiki.bila hivyo,wagumu mzee.
 
Mwanamke ni mwanamke tu. Anaweza akawa mzuri sana kabla ya ndoa wkt wa usichana lkn akisha kuwa wife anadilika kua knife. Achana na hawa watu. Tunakaa nao tu kwasababu ya watt au sababu nyingine za kijamii sio za kujamii.
 
Material wife is a wife that can neither be cheated nor chakachuliwaring. she iz only looking for a marriage,hahahaa
 
Huwa wanawaita wife material bro... materialistic wife ni kitu ingine bro inabidi umkimbie uache hata viatu njiani poa tu!!
 
material wife ni mke aliyetengenezwa kwa zege, afu kaungwa matairi ya gari.
 
Mimi naona kidhungu hapa kimenitoa....naona kunaweza kuwa na tofauti kubwa sana kati ya 'material wife' na 'wife material'! Sina uhakika mtoa mada amekusudia lipi hasa....nachelea kutoa mchango wangu.
 
material wife na wife material ni vitu viwili tofauti
msije kupotezana tu humu......
 
Acha woga wewe, material girl ni wazuri sana wanakufanya uwe na kili ya kutafuta pesa ili watumie

Tumia hele ikuzoee wewe acha uoga

afu wao huwa wametengenezwa kwa zege na magari na dhahabu

ogpoa material girl mana atakupenda ki material material
 
hivi hoja ya nguvu na nguvu ya hoja huwezi tofautisha?

Una kala blindness au words blindness?
Mimi naona kidhungu hapa kimenitoa....naona kunaweza kuwa na tofauti kubwa sana kati ya 'material wife' na 'wife material'! Sina uhakika mtoa mada amekusudia lipi hasa....nachelea kutoa mchango wangu.
 
Material wife ni mwanamke anayeweka masilahi mbele, huna pesa hakuna penzi. Labda ulitaka kusema wife material.

Huwa wanawaita wife material bro... materialistic wife ni kitu ingine bro inabidi umkimbie uache hata viatu njiani poa tu!!
 
material wife, kama nini vile? sikuelewi hakuna kitu kinaitwa material wife.
anyway just keep in mind that "IT IS VERY EASY TO GET A WOMAN BUT VERY DIFFULT TO GET A WIFE" sio material wife "remember".
Nenda kaulize nimpate wapi mke mwema. The answer is simple.......................... fill the space................ Mie tayari nimemuona na sasa tuko pamoja, tunaishi maisha raha mustarehe
 
ICE CREM tu lazima ukainunulie mlimani city!!!!!!!!!! na nyanya sio za kariakoo! kama mkono wako mfupi, usijisumbue.
 
Tafuta wote kwanza utajua tu tofauti bila ubishi..........mambo mengine sio lazima kuuliza fanya mwenyewe ili uelewe tofauti.Ila kumbuka key word material.
 
Habari zenu watanzania wenzangu!!ebana nimekua tu nikickia watu wanasema mdada flani ni material wife,lakini cjabahatika kujua hasa sifa znazowafanya waitwe hvo.tafadhali kwa yeyote anaejua sifa za hao material wife azinimwagie hapa..swali la nyongeza,huwa wanachakachulika?over.

sifa kuu ya material wife ni kutafuta pesa, kujitegemea kwa matumizi binafsi na kumfanya material husband a-smile 24/7/30/365
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom