MATERIAL GANI NZURI ZA KUTUGENEZA KABATI LA NGUO

Mbacho Massawe

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2016
Posts
303
Reaction score
248
Habari za jioni wakuu. Kati ya mbao , MDF na marine board ni ipi material imara kwenye kutengeneza kabati?

Nimeenda kwa mafundi nataka wqnitengeneze kabati ila kila mmoja ana material tofauti. Je kwa kabati la nguo material gani ni nzuri na imara?
 
Nenda na Mbao iliyochanganya na Marine boards.Tafuta Mninga ukiokauka.Marine boards zipo imara.MDF utakuja Kulia machozi.
 
Nguo nazo zinajengewa nyumba yake, alisikika Maasai mmoja
 
Habari za jioni wakuu. Kati ya mbao , MDF na marine board ni ipi material imara kwenye kutengeneza kabati?

Nimeenda kwa mafundi nataka wqnitengeneze kabati ila kila mmoja ana material tofauti. Je kwa kabati la nguo material gani ni nzuri na imara?
Udongo wa mfinyanzi
 
Mkuu ni nyumba yako au ya kupanga unataka kabati la kuhama nalo? Kama ni nyumba yako makabati ya kujengea mfano walk in closet tumia MDF ila iwe nene.
 
Back
Top Bottom