Matembezi ya Barak Obama Ujerumani

Matembezi ya Barak Obama Ujerumani

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,203
Reaction score
1,001
Yaani huyu jamaa anaheshimika si mchezo
UJERUMANI yote imesimama,anapewa heshima ja juu sana kiongozi huyu.

Vyombo vyote vya habari siku mbili nzima ni Obama
Wanatangaza zaidi ya 90% ya wajeruman wanamkubali Obama

Lengo wa ujio wa UJERUMANI ni kuwatoa hofu kuhusu ujio Rais mpya wa Marekani na urafiki baina ya hizi nchi mbili

Zaidi sana ni kuiaga Eu na kuwaomba kushikamana zaidi katika umoja wao.

Naweza sema wazungu sasa wanaimani na mtu mweusi kuwa anauzo mkubwa sana akipewa nafasi.
1479470488801.jpg
 
Attachments

  • 1479469886474.jpg
    1479469886474.jpg
    34.2 KB · Views: 51
  • 1479469895924.jpg
    1479469895924.jpg
    34.6 KB · Views: 46
  • 1479469955024.jpg
    1479469955024.jpg
    34.6 KB · Views: 48
Yaani huyu jamaa anaheshimika si mchezo
UJERUMANI yote imesimama,anapewa heshima ja juu sana kiongozi huyu.

Vyombo vyote vya habari siku mbili nzima ni Obama
Wanatangaza zaidi ya 90% ya wajeruman wanamkubali Obama

Lengo wa ujio wa UJERUMANI ni kuwatoa hofu kuhusu ujio Rais mpya wa Marekani na urafiki baina ya hizi nchi mbili

Zaidi sana ni kuiaga Eu na kuwaomba kushikamana zaidi katika umoja wao.

Naweza sema wazungu sasa wanaimani na mtu mweusi kuwa anauzo mkubwa sana akipewa nafasi.
View attachment 436014

Ndicho anachoweza show tu hakuna kingine, ndiyo Wamarekani wameadhibu na kuleta mtu wa kazi D.Trump!
 
Ndicho anachoweza show tu hakuna kingine, ndiyo Wamarekani wameadhibu na kuleta mtu wa kazi D.Trump!

Kaenda ku show off na Greece pia 😀
His massive motorcade in Greece.

Aisee kuwa rahisi wa marekani raha sana. Kama mlishanotice kitu kuhu POTUS, akitoka kwenda nchi nyingine anabeba White House yote!!! Its like he is taking the whole White House for a picnic. Hamna cha kubana matumizi. Obama namkubali sana, hasa hotuba zake.

-callmeGhost
 
Kwa kiasi flani obama ameweza kutufanya watu weusi tuheshimike duniani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom