Mateja. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mateja.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mfarisayomtata, Mar 28, 2012.

 1. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 419
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Vichaa wawili walikuwa wanabishana mchana kweupee, mmoja anasema "hili ni jua" mwingine "huu mwezi", mara akaja kichaa watatu basi wakaamua kumuuliza" eti mwana hili ni jua au mwezi?" kichaa kwa unyoonge kabisa, "dah! Kweli ata mimi sina uhakika."
   
Loading...