Match ya Leo Simba Akila Kichapo cha kuanzia goli 3 msahau Match kuchezwa kwa Mkapa.

Match ya Leo Simba Akila Kichapo cha kuanzia goli 3 msahau Match kuchezwa kwa Mkapa.

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,336
Reaction score
4,848
Nahis hamkumuelewa Msemaji Ahmed Ally...simba leo wanapima upepo wakila goli 3 kwenda Juu watakua willingly kucheza Aman ila ikitokea ni goli Moja au Mbili kafungwa watalazimisha hata serikali iingilie kati Match ichezwe Kwa Mkapa.

After game nitakuja kuwaeleza kwa undani ndio muelewe why hata Msemaji after hii game ndio watasema.
 
Back
Top Bottom