Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,762
- 14,005
sambamba na hilo kuna hili la mvua....yaani mvua ikinyesha tu mawasiliano yanakata...unakuta unachek program nzuri sasa matangazo yakikata hadi yarudi kipindi kimeisha au hata kama hakijaisha basi unakosa muendelezo mzuri...
azam tunawapenda but shughulikieni haya yanatukwaza
azam tunawapenda but shughulikieni haya yanatukwaza