Matatizo ya mwanamke mwenye wivu sana

Matatizo ya mwanamke mwenye wivu sana

Wa kwangu mpaka naiona dunia chungu,uage usiage ukirudi kuliliwa mtindo mmoja.Usitembelewe na mtu,kivumbi kitatimka.
 
nina wivu balaa nimeamua kuishi mwenyewe milele i cant stand wanaume hahaha sijui ni mazingira niliyokulia ama nini lakini nina wivu na siamini mwanaume hata mmoja so sina mahusiano yale serious na wanaume wala siwapendi naona wanagegeda tu hawana mapenzi

Ila nipo karibu na wanaume yaani naishi nao kama mi mwanaume ,mwenzao sina marafiki wa kike lakin mapenzi hapana wapite hiviii

Unapepo la wivu siyo bure khaaaa.
 
kuna wanawake wana wivuv mpaka kero lo mwanaume unakosa hata kuongea na mamako atapekenyua cm ole akute jina la kike ataenda hewani matusi mpaka kuna mmoja alimtusi hadi mamakwe wake baada ya kupekua cn ya mme wake akaona mbina no inapgiwa sana

Wivu wa hivyo hatari sana mkuu!!!
 
Wenye wivu wote huwa hawajiamini. wanamapungufu kwenye mahusiano yao! lakini kama wanajiamini hawawezi kuwa na wivu!

Wivu ni kipimo cha mapenzi ila ukizidi inakuwa kero!!
 
Note:hakuna binadamu aliyekamilika kama ukikutana na mwanamke mwenye wivu mkubwa na umempenda jiandae2 kisaikojia kuishi nae na kuvumilia kero zake na pengine kumbadilisha!!

Hapa umenipa somo maana wife kawa kero kuna hatua nliwaza hata kumuacha! Tumeshafikishana mpaka kwa wazazi wangu na wake wamemzuia aache wivu bila mafanikio!
 
Hapa umenipa somo maana wife kawa kero kuna hatua nliwaza hata kumuacha! Tumeshafikishana mpaka kwa wazazi wangu na wake wamemzuia aache wivu bila mafanikio!

Pole sana mkuu,ndio maisha ya ndoa yalivyo nikumvumilia2 coz hakuna binadamu aliyekamilika!!,naimani ipo siku atabadilika2!!
 
flora msoffe
Mbona mpo wengi mamaa,siku izi ndo staili mtu akikosa mwandani anajifanya tomboy SMH.mwisho wa siku mwanamke atabaki kua mwanamke,mapenzi ya dhati yapo sana but it takes 2 to tangle.this means hata wewe jiangalie..its not only the case of men.sorry that I picked on you

Haha wewe wasema
 
Last edited by a moderator:
Habari wana Jamii forums natumaini mko poa sana.

Leo nipo tena hapa kupeana maarifa,ningependa kutoa udhoefu wangu,juu ya matatizo ya wanawake wenye wivu mkubwa,kwani ninavyojua "wivu"ni moja wapo ya kipimo cha Upendo kwenye mahusiano ya kimapenzi,lakini wivu huohuo ukizidi inakuwa ni tatizo,wazungu hupenda kusema" too much is harmful ".

Wanawake wenye wivu mkubwa huwa wanamatatizo sana,ningependa wanaume wenzagu waelewe mwanamke mwenye wivu mkubwa huwa hakuonei wivu tu,anapokukuta na wanawake wengine mnaongea ama mnezoana,Bali mwanamke mwenye wivu mkubwa hukuonea wivu hadi na vitu unavyovipenda.

Kwa mfano, mwanaume ukiwa unapenda sana kuangalia mpira kama yeye mwanamke hapendi mpira atakuwa hapendi wwe uangalie mpira iwe nyumbani ama unapenda kuangalia sehemu nyingine.

Jambo jingine kwa mfano mwanaume akiwa anampenda sana labda mama yake ama ndugu yeyote au rafiki mwanamke mwenye wivu mkubwa lazima awachukie watu wote unaowapenda sana cause mwanamke mwenye wivu mkubwa huwa anapenda umpende yeyetu.

Zaidi sio kitu chochote,na jambo jingine baya zaidi mwanamke mwenye wivu mkubwa huwa anahasira sana na Mara nyingi huwa ni mtu wa visasi ukimfanyia kosa lazima alipize kwa mfano ukichepuka nayeye akijua lazima achepuke.

Kuna jambo jingine la muhimu la kuelewa sio kila mwanamke mwenye wivu mkubwa anakupenda sana hapana wengine ni roho mbaya tu na wengine huwa ni wachepukaji wakubwa na huwa wanahisi pengine na wwe unachepuka kama wao,si unajua "mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu",yangu ni hayo tu mengine mtaongezea wenyewe.

Note:hakuna binadamu aliyekamilika kama ukikutana na mwanamke mwenye wivu mkubwa na umempenda jiandae tu kisaikojia kuishi nae na kuvumilia kero zake na pengine kumbadilisha.

Hii ni kweli tupu!
 
Mrembo wewe sikosi wa kunikonyeza halaaa
Na sijakosa wapo wakinakaka wengi tuuu but noo
Chacha hapo si watakuwa wanajisevia afu kila mmoja anachukua hamsini zake?
Habari ya mjini ni mwanamke kudeka kwa mmewe na kutunzana.
 
Back
Top Bottom