shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,373
Yaan mie wivu utaniua hua najitahidii weee wapiii hasa nikigundua nataka kuibiwa looo yaan hapo litanikaa moyoni halitokii,kuna mtu namvutia pumzi nahisi roho yangu itatulia aisee ni kweli ni bora kua single huku kupenda unaweza kufa siku si zako halaf lenyewe likaendelea kula bata, @frola Msofe afadhali upo single aisee ni boraa
Wengine tutakuf siku si zetu
Mapenzi yanauma dinner somtime inabidi upotezee tu kama anachepuka ipo siku utajua tu.vinginevyo utakufa na kijiba cha roho.