Matatizo ya mwanamke mwenye wivu sana

Matatizo ya mwanamke mwenye wivu sana

nina wivu balaa nimeamua kuishi mwenyewe milele i cant stand wanaume hahaha sijui ni mazingira niliyokulia ama nini lakini nina wivu na siamini mwanaume hata mmoja so sina mahusiano yale serious na wanaume wala siwapendi naona wanagegeda tu hawana mapenzi

Ila nipo karibu na wanaume yaani naishi nao kama mi mwanaume ,mwenzao sina marafiki wa kike lakin mapenzi hapana wapite hiviii

Long to meet u!
 
Mwanamke mwenye wivu ni noma, akiwa m'babe pia sasa ndo noma zaidi. Nina Mchizi wangu flani, ana Manzi yake ni tomboy kiaina. Huyo Manzi anampeleka Mchizi hadi noma, akipenda kitu chochote cha jamaa, anachukua, kibabe tena. Sio T-shirts, Shorts, Kicks, ye anabeba tu, Jamaa anakuja kutuambia kama analalamika hivi.

Mwezi wa pili saivi, kang'ang'ania simu ya mshkaji kisa anahisi jamaa ana show za pembeni, kumbe wapi.

Mshkaji tumemzuia kabisa saivi kutuambia habari hizo, kwa sababu inaonekana anafurahia hiyo hali kimtindo.
 
Umeona eeeh,mwanamke mwinyi wivu mkubwa ni nomaa!!
 
Yaan mie wivu utaniua hua najitahidii weee wapiii hasa nikigundua nataka kuibiwa looo yaan hapo litanikaa moyoni halitokii,kuna mtu namvutia pumzi nahisi roho yangu itatulia aisee ni kweli ni bora kua single huku kupenda unaweza kufa siku si zako halaf lenyewe likaendelea kula bata, @frola Msofe afadhali upo single aisee ni boraa

Wengine tutakuf siku si zetu
 
Usifikirie negative hivo, ungekuwa single ungetamani double, usiishi kwa kumfikiria mabaya umpendaye utaishi kwa stress, usipende kuhis Na kuhukumu. wewe aliyekuweka ndani ndiye anakupenda zaid ya hao unaowahisi wanakuibia. Muulize mpenzio nini anakosa kwako mpe vyote hatachit kamwe.
 
Mi huyu co wivu tena ni kukomoana nawekewa sheria utafikiri nilitaka kupindua nchi mwanamke aseme yy mi mtekelezaji nikienda sehem lazima niage nisipokuwepo nitasema nilikuwa wapi kosa dogo tayari tatizo sina uhuru na cm kila anayepiga anayetuma msg nieleze tena kiundani ni nani,nashukuru ni mpenzi kwa staili hii mi nshasurrender naogopa cku awe mke wangu ni ugomvi 2,mlio kwenye ndoa hongereni mi bado nipo nipo sana.
 
Duh!,hiyo Kali mkuu,pole sana!
 
Hayo ndio mapenzi mkuu sio mchezo!
 
Juzi shemeji yenu alinitishia nyau kwa sababu nilimchunia sikumpigia simu na sikujibu txt zake akasema ni kampa kubwa mpaka akaomba poo
 
jandekuka;

Mchungu unamaanisha nini Ila nina hasira za haraka saaana na kasirika mpaka natapika mi sio mpweke I talk , nikiona bored napiga mitungi nalala nasoma novel ,like right now nawatch movie naenjoy sijui maana ya mapenzi and sometimes naona kero kujichanganya lets say hapa nawatch movie halaf

Nipate simu nitoke hapa sijui nikafurahie wapi i will say hapana nooo but i go when i neeed na hata nikianzisha relation na mtu huwa nambore hahaha sababa siwez kwenda na bit za mtu yoyote dunia hii ndo mana hata sitaki kufikiria mwanaume hatutadumu.

Umekaa mpweke mda mrefu umesha ingiwa na jini mahaba ww lakini ipo siku utapata mkali wako we si moto utapata barafu utapoa tu
 
Last edited by a moderator:
Yaan mie wivu utaniua hua najitahidii weee wapiii hasa nikigundua nataka kuibiwa looo yaan hapo litanikaa moyoni halitokii,kuna mtu namvutia pumzi nahisi roho yangu itatulia aisee ni kweli ni bora kua single huku kupenda unaweza kufa siku si zako halaf lenyewe likaendelea kula bata, @frola Msofe afadhali upo single aisee ni boraa

Wengine tutakuf siku si zetu

Vumilia tu mamy coz Magic Stick inaumuhimu katika saikolojia yako,..
 
Ahsante sana ndugu yangu kwa kusema yale uliyoayona kuwa mazuri ktk ya niliyoandika.

Kiongozi kuwa mwanasiasa na mchumi inaweza kuwa taabu na imekuwa taabu kwa nchi za ulimwengu wa 3. Tatizo linakuja ni kwamba elimu zetu hazitujengi kuwa wabunifu na watu wenye uwezo wa kutoa mmamuzi huru. Si ajabu kusikia viongozi waliosoma uchumi na kufaulu kwa alama za juu ila wakawa wana uelewa tofauti kuhusu soko huria. Tofauti hizi sio kwa kuwa wote wapo sahihi na wana mawazo mapya na tofauti,Lah hasha, wote wamepotoka.

Mfano mzuri ni wafanyakazi ktk wizara pamoja na serikali kulipa hela nyingi kuwapiga msasa kuhusu matumizi ya computer kwakutumia package rahisi km microsoft windows office, zaidi ya nusu yao hawajui chochote cha msingi ingawaje wanajua kutaja misamiati sijui niite maalum (terminologies) ktk mazungumzo.

Sasa hii inaendelea hadi kwa hao wasomi wa uchumi na blah blah nyingine, ni wajuzi wa kutumia hizo terminologies hasa zile ambazo ndizo zipo ktk matumizi ya leo duniani ila ukipitia vichwani mwao na kuona ni picture ipi wanayo kichwani utacheka au kuishiwa nguvu kabisa. Sasa huu upotoshaji unajiongeza hadi kwa raia. Ila matokeo yake utayaona ktk mikataba iliyoandikwa km ile ya enzi za wazee wetu na wakoloni.

Kitu muhimu ni kuhimiza elimu sahihi kuhusu siasa na mambo yahusuyo raia,uchumi na soko huria. Kuwe na baraza la kuhakiki public understanding. Serikali ijaribu kutumia parameters za uchumi na sheria halali za kulinda soko huria na democrasia. Kuzipanga hizi paremeters ndiko kutakuwa kunatuweka ktk optimum setting au equilibrium. Kama sisi hii itatushinda basi social activities ziajirekebisha zenyewe kwa hasara yetu hadi tupate kuelewa na kuanza upya.

Mchumi bora hatoshindwa define democrasia ktk mtazamo wa soko huria. Mimi kwangu tofauti si kubwa sana kwani ni kubadili parameters tuu ila skeleton ni sawa.

Ok, nimekuelewa kwa mfano wako japo sijaafiki kutumia hapa kwani masuala ya dini yana complication sana. Well, kuhusu reference (sijui niite dira), hatuna hapa Tanzania labda tuandae au tufuate za nchi kama Marekani kwa kugushi. Naamanisha kama masai wanavyovaa tairi km kiatu kwani tumetofautiana na wale jamaa sana.

Kuhusu wananchi, ni kwamba uelewa wa raia wengi na muhimu ni mdogo.Wengine wana uelewa potofu. Mfano ni kama kijijini kwetu wazee wengi bado hawajaweza ona umuhimu wa kukabidhiana mali kwa maandishi hata pale mazingira yanaporuhusu. Ni km pale raia wasivyoona haja ya kutupa uchafu sehemu sahihi ktk miji yetu.

Ni pale raia wanapoona hakuna nhaja ya bima, kuweka hela bank. Bado wananchi hawajawa tayari kukubali kuwa utandawazi, demokrasia na soko huria etc vipo nasi hapa na kinachohitajika si kukataa ila ni kutafuta njia za kuishi ktk hizi hali kwa faida yetu. Na hizi njia zipo ktk maandishi etc na wenzetu wanazitumia na kufanikiwa.Huwezi amini wageni wanakuja hapa wanatengeza utajiri kwa kipindi cha chini ya miaka 5, na kuondoka kabla grace period haijaisha.

Wengine wameweza tengeneza hela ya kula maisha yao yote bila kuimaliza.Wamechukua hela ya kutosha kununua hisa na products nyingine za kifedha ambazo zitaingiza hela zaidi ktk maisha yao yote.

Kikubwa cha kuanza ni kushusha gharama za kuanzisha makampuni ya kizalendo ili hata vijana kutoka vyuoni wenye taalunma inayoweza kuwa mtaji waweze hilo. Sasa kazi ibaki kwao kuimarisha nafasi yao ktk soko huria. Wakishindwa basi wanaanguka. Hii inahimiza ufanisi na elimu sahihi kwa jamii.kwani hata mtumiaji naye atajikuta akipata elimu sahihi ili aweze pata huduma sahihi.

Raia wenye uelewa mkubwa wanawapa wanasiasa wakati mgumu wa kubabaisha. Kwa hiyo vyma vitaumiza vichwa kujijenga na kujiremba kuliko kupoteza muda wa kuhubiri chuki na kugombania ruzuku. Hapa vyama vitakuwa na nguvu vyote na hivyo kuleta upinzani km ktk ligi ya mpira. Timu iliyo bora ndio itakayokuwa na nafasi ya kushinda. Ila kila chama kitajiuza kwa ubora na si nguvu ya hela na dola.

Hawabadiliki Mkuu wangu nilijua atabadilika hakuna, ni mwaka wa tano sasa, nikifika tu nyumban natoka zangu kazin naingia bafun yy anazama mfukoni kucheki cm Leo nimewasilian Na nani yaan unaweja ujute kumfaham
 
Back
Top Bottom