Matatizo ya mwanamke mwenye wivu sana

Matatizo ya mwanamke mwenye wivu sana

jandekuka;

Mchungu unamaanisha nini Ila nina hasira za haraka saaana na kasirika mpaka natapika mi sio mpweke I talk , nikiona bored napiga mitungi nalala nasoma novel ,like right now nawatch movie naenjoy sijui maana ya mapenzi and sometimes naona kero kujichanganya lets say hapa nawatch movie halaf

Nipate simu nitoke hapa sijui nikafurahie wapi i will say hapana nooo but i go when i neeed na hata nikianzisha relation na mtu huwa nambore hahaha sababa siwez kwenda na bit za mtu yoyote dunia hii ndo mana hata sitaki kufikiria mwanaume hatutadumu.
 
Last edited by a moderator:
Najua ninatatizo na sitaki kulishughulikia sometimes bora kuwa single than to have a man who stess you,,, im happy and busy

kweli una tatizo mkuu. Huwez kusema unafuraha wakat unashare wanaume wa wenzio.
Unataka kunambia hushiriki tendo? Na kama unashiriki je wale unaoshiriki nao ni mabachela tu?
 
Umenigusa sana,nimempoteza mpenz wangu kwa ngoma mwenye sifa ulizozitaja..

Hii thread imeniumiza sana!!

Amina.
 
flora msoffe
Hahahaha kila nikisoma coment yako siachi kucheka! ila una zaidi ya matatizo ila ipo cku utampata unayeendana nae ila awe teja. maana km anajielewa itakuwa ngumu sana!
 
Last edited by a moderator:
flora msoffe
Pole dada utakuwa umekwazwa mno! Ndio binadamu tunaoishi nao wanatuumiza lakini hatukomi kupenda. Jipe muda wa kumsamehe yeyote aliyekutenda ili uweze kutoa nafasi kwa mwingine
 
Last edited by a moderator:
Pole dada utakuwa umekwazwa mno! Ndio binadamu tunaoishi nao wanatuumiza lakini hatukomi kupenda. Jipe muda wa kumsamehe yeyote aliyekutenda ili uweze kutoa nafasi kwa mwingine

Nope iv made ma mind dear u know what nikipenda nahisi napitiliza kumbe wanaume inabidi ujibebishe kiuongouongo na siwwz n ways ngoja nifanye mengine by the way sion taabu life goes onnnn
 
kweli una tatizo mkuu. Huwez kusema unafuraha wakat unashare wanaume wa wenzio.
Unataka kunambia hushiriki tendo? Na kama unashiriki je wale unaoshiriki nao ni mabachela tu?

Hahaha mara mojamoja saaaana tena kwa kubanwabanwa si kwa kuwazia au kwa mapenzi i dont love anymore... Yupo mtu but hahahaha anasema namnyanyasa coz ni kama ananilazimisha sio wanaume mwanaume hivi kuna mwanaume wa mtu dunia hii mh mi niliwashindwa sababu nataka wakwangu ikashindikana n wayz that is that
 
Hahahaha....kila nikisoma coment yako siachi kucheka! ila una zaidi ya matatizo ila ipo cku utampata unayeendana nae ila awe teja. maana km anajielewa itakuwa ngumu sana!

Pole but i cant kwanza mi ni mjeuri nina majibu ya shortcut uwii hata teja siwez
Like today nimeshinda nachart huku jf siwazi wala sifikiri mwanaume what for aghrrrrrr
 
aaaah n way this topic is official closed sichangii tena hapa kwenye uzi huu
 
Mkuu uyasemayo ni kweli pia upande wa piliNamaanisha mwanaume.Lakini pia ikumbukwe kwamba kama umeoaRafiki yako wa kwanza unayetakiwa kumpa au kumwonyesha mapenzi yote ni mke wako,wengine wafuate,nivema sana kuwapenda wazazi wako, ndugu zako lakini ukikuta upendo wako kwao ni mkubwa kuliko kwa mkeo jitathimini upya.

Uzoefu wangu unaonyesha wanawake wengi huwachukia marafiki za waume zao wanapogundua tabia za marafiki hao siyo nzuri,mfano kama rafiki yako
ni mchepukaji,mlevi sana wa kulala bar au kurudi nyumbani usiku wa manane usitegemee apendwe na mkeo,labda kama anachepuka naye.Hivyo tunaposema wivu wa mke/mme tuangalie na mazingira yanaweza kumsababishia mtu tabia ambayo hakuwa nayo hapo mwanzo.
 
changanya na za kwako mambo ya kujibebisha hapa hakunaga nihangaishwe na pesa halafu na mtoto wa mwanamke mwenzangu i said no kama miaka mi 4 hivii na stabadilika
Sura yako nayo vipi,isije ikawa sizitaki mbichi hizi! aah aah aah,''just joking'
 
nina wivu balaa nimeamua kuishi mwenyewe milele i cant stand wanaume hahaha sijui ni mazingira niliyokulia ama nini lakini nina wivu na siamini mwanaume hata mmoja so sina mahusiano yale serious na wanaume wala
siwapendi naona wanagegeda tu hawana mapenzi

Ila nipo karibu na wanaume yaani naishi nao kama mi mwanaume ,mwenzao sina marafiki wa kike lakin mapenzi hapana wapite hiviii
Shida zako nani anamaliza usije ukawa unatumia vile vya plastik....
 
Wenye wivu wote huwa hawajiamini. wanamapungufu kwenye mahusiano yao! lakini kama wanajiamini hawawezi kuwa na wivu!
 
flora msoffe
Mbona mpo wengi mamaa,siku izi ndo staili mtu akikosa mwandani anajifanya tomboy SMH.mwisho wa siku mwanamke atabaki kua mwanamke,mapenzi ya dhati yapo sana but it takes 2 to tangle.this means hata wewe jiangalie..its not only the case of men.sorry that I picked on you
 
Last edited by a moderator:
Mume wako ana bahati sana

hiyo ni bahati au majanga? huyu kapiga moyo sindano ya ganzi kwa sababu anaogopa kulia lia. Kuna dalili alishalia sana, kuondoka hataki kwa hiyo inabidi ajiweke kwenye mkao wa kutopata maumivu. Imagine unakaa nje ya nyumbani mpaka saa 5/6 halafu mwenzio hakuulizi kama uko salama au umepata ajali.....utasema hii ni bahati!
 
kuna wanawake wana wivuv mpaka kero lo mwanaume unakosa hata kuongea na mamako atapekenyua cm ole akute jina la kike ataenda hewani matusi mpaka kuna mmoja alimtusi hadi mamakwe wake baada ya kupekua cn ya mme wake akaona mbina no inapgiwa sana
 
Back
Top Bottom