Matatizo ya mwanamke mwenye wivu sana

Matatizo ya mwanamke mwenye wivu sana

Napenda girl mwenywe wivu.. mwanamke asie ma wivu hajui kupenda.. wivu sifa ya mwanamke.. i dont care uwe wivu mkubwa au wa kawaida but asiwe na roho mbaya tu. Coz roho mbaya ni kitu tofaut kabisa na wivu. Ushaur wang kwa ladies,feel free to show up your jelous, you deserve to have it!!
 
Duh!,mkuu ssa unamkomoa nani?

changanya na za kwako mambo ya kujibebisha hapa hakunaga nihangaishwe na pesa halafu na mtoto wa mwanamke mwenzangu i said no kama miaka mi 4 hivii na stabadilika
 
Wivu ni kipimo cha mapenz but kama ukizidi inakuwa soo si kwa wadada tu even if wanaume kuna baadhi wana wivu mmmmmh ni shidah. Utakuta mke katoka kidogo naye nyuma, story na Baadhi ya marafiki wa kiume mume anashusha kipigo daaaah its better to change
 
Mimi sina wivu hata kidogo. Nimejiwekea kuwa tumekutana utu uzimani kila mtu ana akili zake na hivyo kila mtu afanye linalompa amani.
Na hivyo sasa Huwa nina amani ya kutosha.
 
Napenda girl mwenywe wivu.. mwanamke asie ma wivu hajui kupenda.. wivu sifa ya mwanamke.. i dont care uwe wivu mkubwa au wa kawaida but asiwe na roho mbaya tu. Coz roho mbaya ni kitu tofaut kabisa na wivu. Ushaur wang kwa ladies,feel free to show up your jelous, you deserve to have it!!

Nami pia napenda mwanamke mwenye wivu, ila sio roho mbaya.
 
flora msoffe
Mi sitokudanganya nipo kwa mapenzi ya kweli sipendi kugegeda,napenda caring na kutoa.
 
Last edited by a moderator:
flora msoffe

Si kwamba una wivu tu, bali pia hujiamini. Ila jiandae kwa maradhi ya upweke cku zijazo.
 
Last edited by a moderator:
Mimi sina wivu hata kidogo. Nimejiwekea kuwa tumekutana utu uzimani kila mtu ana akili zake na hivyo kila mtu afanye linalompa amani.
Na hivyo sasa Huwa nina amani ya kutosha.

Umeolewa!!?
 
Mada tata ni kama hii utapata ladha na uchungu tofauti ah wivu uwepo lakini kuna wengine roho mbaya anataka akumiliki zuri analopenda yeye ukipenda weye baya hapana wivu uwe na kipimo mwisho inakuwa kero
 
Najua ninatatizo na sitaki kulishughulikia sometimes bora kuwa single than to have a man who stess you,,, im happy and busy

Bora kuwa single... hapana nadhani kwa kipindi fulani tu hiyo inaweza kufanya kazi ila stress zikipungua, you better look for a stressless man. Maradhi ya upweke ni mabaya sana lazima uwe mchungu na mkali sana na usipoangalia utaanza kuzungumza mwenyewe hasa ukiwa peke yako. Nina mfano hai siwezi tu kuuweka hadharani "kwa sababu za kiusalama".
 
Ofcoz bnafsi nampenda mwanamke mwenye wivu kiasi, maana wivu ukizidi kwa mwanamke basi lazima atakugombanisha na marafiki hadi ndugu!
 
Next time jifunze kuwa na muandiko mzuri.
Pia nature ya binadamu ni kutoridhika , yeye kila siku ana uhitaji hata apate nini.
 
flora msoffe
Unasema uwaamini wanaume lakn wakat huohuo unasema marafiki zako ni wanaume.
Mara nyingi watu wa aina yako huwa huwa mnatoa kisela kwa kisingizio cha ni urafiki tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom