darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 2,459
- 5,135
Sasa hiyo zantel si ndio inamilikiwa na TIGO kwa hivyo automatically wewe ni mtumiajia wa TIGO.Nani atumie TIGO?
Mimi?
Kuwa na adabu basi, nipate wapi ujasiri wa kutumia TIGO?
Mimi na Vodacom Tanzania ni damudamu.
Sent using Jamii Forums mobile app