Matatizo ya Kampuni ya Zantel Tanzania

Matatizo ya Kampuni ya Zantel Tanzania

Tigo = ZANTEL ... Mmiliki Wa ZANTEL ni TIGO (MIC LTD )
Tigo wanakera na sms...zisizo na kichwa wala mguu! Mtu upo kwenye mishe unasikilizia sms ya 'ukweli' ili mipango ya siku ikae sawa....mara unasikia titiii!titiii!

Wewe huku mbio unajua majibuya mishe yametiki....kuchungulia screen na kubofya kile kialama cha barua kwa ajili ya message....unakutana na mara hooo! "MPYA! tigo kutoa simu janja kila wiki katika.....na longo longo kibao....na wanamalizia na neno BID kwenda desh deshi deshi! kwa Tsh 100/sms"
 
Back
Top Bottom