NakionaWe jamaa unatumia Zantel ya zenji au? Kifurushi namba 10 cha bao bila kikomo hakionekani kwenye simu yako?
Jaribu menu ya *149*15#Natumia Zantel, kiukweli kwangu naona jamaa wako poa tu.
Menu ya *148*05# napata ofa ya vifurushi vya chuo 1500 GB 1.5, dk 160 mitandao yote na SMS 1000 kwa wiki.
Pia *149*15# napata ofa ya Bao Tanga 1000 GB 1 na dk 5 za mitandao yote siku 3
Hili halichachi auJaribu menu ya *149*15#
Nenda namba 10.Bao bila kikomo! Burudani zote zipo hapo.
Sasa kama unakiona unacholalamikia ni kitu gani au Buku ya kujiunga huna?
Si unajua wakaZi wa Temeke tumezoea vya jerojeroSasa kama unakiona unacholalamikia ni kitu gani au Buku ya kujiunga huna?
Ndio maanake!
Sina mkuuSasa kama unakiona unacholalamikia ni kitu gani au Buku ya kujiunga huna?
Basi tumia mtandao wa wanafunzi ule! Huu mtandao kama umekushinda usitie majungu. Kwengine wanauza GB1 buku 2
Pole sana
Mtandao ipi wa wanafunZi?Basi tumia mtandao wa wanafunzi ule! Huu mtandao kama umekushinda usitie majungu. Kwengine wanauza GB1 buku 2
Waiache ijitegemee maana kwa level ya Huduma ni kama Toyota na Nissan.Mkuu, usijisumbue, Tigo tayar washa takeover, Zantel Kwa upande wa Bara ipo chini ya Tigo, management kuu inatoka Tigo.
Sijajua itafanyika Total Acquisition au Wataiacha ijitegemee.
Tigo mkuu!
Mkuu miaka 20 iliyopita zantel ilikuwepo kweli? mbona naona kama kuna ukakasi hapaUkweli nimetumia zantel 20yrs na bado naitumia as main line.
Sijui kama wana toa huduma kulingana na muda mteja aliokaa ila kwa upande wa bandle, sms au mins naona kawaida.
Mfano,
a) 1000 napata 1gb, 100sms na 45mins all net kwa wiki.
b) Dar offer wanatoa 1000 3gb kwa siku tatu
Anamaanisha 2000,Aache uongoMkuu miaka 20 zantel ilikuwepo kweli mbona naona kamq kuna ukakasi hapa
Wakiiacha ijitegemee, itapendeza sana. Uzuri wa Zantel imejingea wateja ambao ni loyal, ukiwa mteja mzur wa Zantel huwezi kuikacha kirahisi. Zantel =ToyotaWaiache ijitegemee maana kwa level ya Huduma ni kama Toyota na Nissan.
Tigo ni Nissa huku Zantel ni Toyota katika nyanja ya mawasiliano
Ilikuwa na special for Ramadhan tu..na nadhani.waliiweka bila kuchagua.. kushoto wala kulia..Wanakupigia simu hata saa 8 usiku wanakukumbusha kuswali na kula daku
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi siku 30 mapigiwa simu eti nikale daku, nikiwaambia nimeshakula wanaanza na stori zaoIlikuwa na special for Ramadhan tu..na nadhani.waliiweka bila kuchagua.. kushoto wala kulia..