CORAL
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 2,827
- 1,858
Ninafikiria kununua flat screem tv lakini watu wanasema zina matatizo sana kulinganisha na tv za kawaida-yaani zile za chogo( cathode ray tubes)
Madai haya yakanifanya nifanye utafiti kidogo kwenye internet na kukuta kweli watu wanasema zina matatizo mara kuzima ghafla,kutoa picha mbaya,nk. Hata nilikutana na maelezo yaliyonitisha eti "kama ulinunua flat screen tv imemaliza miaka 2 bila shida yoyote mshukuru Mungu sana"
Sasa naomba ambaye ameitumia muda refu aina hii ya tv anitoe wasiwasi kama hajapata matatizo yoyote.