Matatizo ya Android phone na utatuzi wake

Matatizo ya Android phone na utatuzi wake

Zikwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
239
Reaction score
131
kiujumla wengi wetu tunatumia Android phone ingawa c 100% ila wengi wao wapo na android phones..

Hivyo nimeona ni bora kuanzisha hii mada ili kila mwenye tatizo la android phone aweze post na mwenye kujua utatuzi wake aweze kumsaidia kma moja ya kupunguza gharama zisizo za msingi kwa kupeleka kwa fundi na vitu vngine...

KARIBUNI
 
Mm internal memory ni ndogo 1gb nime install app, memory iko full ila nikijaribu ku install app nazo zihitaji ina niambia insuffient space!!

Je kuna uwezakano wa kuweka internal memory mpya na yenye size kubwa?

Pia ni namna gani naweza kustore baadhi ya app au data zingine ktk phone memory kwani inaonesha phone memory ina nafasi.
 
unatumia sim gan enzymes
 
Labda uweke sd cad then uweke apps kwenye sd card na pia unaweka kila utakacho fanya kiingie kwenye sd card
 
Labda uweke sd cad then uweke apps kwenye sd card na pia unaweka kila utakacho fanya kiingie kwenye sd card

Mkuu simu yangu ina tatizo kama hili, nimeweka sd card ya 30gb, hakuna app inayokubali kuingia kwenye sd, hapa siwezi kuingiza kitu inasema hamna nafasi
Cc Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Miziki yangu kwenye music player imekuwa duplicated jamani jinsi yakuondoka hizi copy zilizojiongea coz moja ina play nyingine haiplay sijui inasababishwa na nini.
Plzz mwenye kujua soln.
 
Htc one m7 version 4.1.2
1. Nadownload update sense 5 ila inagoma kuinstall
2. Simu inapata moto haraka sana ndani ya dk 3 nikiweka mobile data on au nikipiga simu. Joto linafika hadi 70 nyuzi joto, hadi inajizima
Tatizo ni nini?
 
Mkuu simu yangu ina tatizo kama hili, nimeweka sd card ya 30gb, hakuna app inayokubali kuingia kwenye sd, hapa siwezi kuingiza kitu inasema hamna nafasi
Cc Chief-Mkwawa

Inawezeka SD Card yako ina shida jaribu kuisoma kwa kutmia cm nyingine kabla huja-conclude! Njia rahisi ya kubaki na internal memory kubwa ni ku-back up info zako kwenye SD-Card. All the best!
 
Last edited by a moderator:
Inawezeka SD Card yako ina shida jaribu kuisoma kwa kutmia cm nyingine kabla huja-conclude! Njia rahisi ya kubaki na internal memory kubwa ni ku-back up info zako kwenye SD-Card. All the best!

Mkuu hapo kwenye kuhamisha ndio shida,
 
Mkuu simu yangu ina tatizo kama hili, nimeweka sd card ya 30gb, hakuna app inayokubali kuingia kwenye sd, hapa siwezi kuingiza kitu inasema hamna nafasi
Cc Chief-Mkwawa

Sio kila simu inaweza pia kukubali memory card kubwa hivyo.
Wewe cheki kwanza hicho kimeo chako kinauwezo huo ndio uweke.
Simu nyingine memory card mwisho ni 2gb sasa wewe umetuwekea 30gb hahaha.
Au nikutoka kule shingha.......
 
Last edited by a moderator:
Tecno Phantom Z iliingia bia baada ya hapo ilikuwa na shida zifuatazo……

1) Kuchelewa kuwaka :- Haiwaki kama kawaida inavyotakiwa yaani ilikuwa inachelewa sana kuwaka unaweza kuwasha ndani ya masaa 3 haijawaka na inaweza ikaamua muda mwingine ikawaka kama kawaida.

2) Betri haiingii chaji :- Betri haiingii chaji kabisa japo ukiweka chaj ilikuwa inaonyesha inaingia lakin haiingii ata uweke masaa saba hukuti ata bar moja imejaa.

3) Touch haifanyi kazi:- Touch haifanyikazi yaan kidole haki sense kabisa ila ile cover ya cm ya juu ya screen ilikuwa ina sense ukifunika ukifunua……

Nilipeleka kwa fundi wote ninaowajua ila wamechemka wote.

Anaewezakunisaidia anisaidie tafadhari
 
HTC desire 610
Version 4.4.2

simu yako ina internal 8gb hivyo na assume una kama 4-5gb za free memory za internal. je umeeka apps za ukubwa huo?

kama haujaeka ina maana internal memory yako imejazwa na nyimbo, picha, video, setup za apk na other files.

cha muhimu ni kuhamisha media zote ndio ziende kwenye memory card na utumie hizo 5gb zako kwa ajili ya apps.

nenda setting halafu storage uangalie ni kitu gani kinakula sana storage halafu tumia file manager kuingia kila folder uhamishe vitu kwenye sd card
 
Sio kila simu inaweza pia kukubali memory card kubwa hivyo.
Wewe cheki kwanza hicho kimeo chako kinauwezo huo ndio uweke.
Simu nyingine memory card mwisho ni 2gb sasa wewe umetuwekea 30gb hahaha.
Au nikutoka kule shingha.......

Mkuu theki mimi nalijua hilo, ila hii kwenye specifications zake wameandika inaweza kuchukua hadi sd card ya 128gb
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hapo kwenye kuhamisha ndio shida,

Kama ni Android 4.4.2, nenda kwenye settings, then chagua storage, preferred installation location, chagua SD Card. Vile vile vile kwenye ku-back up fuata hatua kama hizo!
 
simu yako ina internal 8gb hivyo na assume una kama 4-5gb za free memory za internal. je umeeka apps za ukubwa huo?

kama haujaeka ina maana internal memory yako imejazwa na nyimbo, picha, video, setup za apk na other files.

cha muhimu ni kuhamisha media zote ndio ziende kwenye memory card na utumie hizo 5gb zako kwa ajili ya apps.

nenda setting halafu storage uangalie ni kitu gani kinakula sana storage halafu tumia file manager kuingia kila folder uhamishe vitu kwenye sd card

Mkuu media nimehamisha ila
1. Picha/video hazionekani tena (kama vile hazipo kabisa)
2. Bado internal memery bado inasoma kuna nafasi imechukukiwa na photos & video
1429447451146.jpg
 
Mkuu hapo kwenye kuhamisha ndio shida,

*fungua SETTING.
*then fungua APPS.
*select APP unayotaka kuihamisha.
*shuka chini mpaka sehemu iliyoandikwa MOVE TO INTERNAL STORAGE. select hapo. fanya hivyo kwa APPS zote unazotaka kuhamisha.
 
Mimi cm yangu no aina ya huawei Y530 inanisumbua hasa kwa kuwa slow jtk internet tatizo mini
 
Back
Top Bottom