Matatizo ya Android phone na utatuzi wake

Matatizo ya Android phone na utatuzi wake

Hicho kidudu dcim Mimi kwenye playstore nineiona dcim helper.ndio hicho au ninini ?

Folder la DCIM ni default place kwa kuhifadhia picha katika mobile devices na digital cameras. Ni la muhimu sana na hata ukilifuta au kulibadili jina basi litajitengeneza lingine
 
simu yangu ya sony experia v inatatzo maana haionyeshi call list,inamaana nkipigiwa cwez ona missd call je nn tatzo

Nadhani ni umeshindwa kujua uende wapi kuziona, aidha os imeji update ikakuchanganya. Ingekuwa vyema kama ungeweka screen shot ya call window hapa
 
Wataalam mm simu yangu nikitaka kuinstall program inagoma na haitoi ujume wowote, free space ipo, natumia android version 4.4.2 wataalamu nisaidien
Cc chief mkwawa

Unatumia sim gani mkuu saw version tmeiona yan BRAND ya sim yako
 
mimi simu yangu kila mda inakuwa inasearch GPS hat kama nikiizim GPS baada ya mda kidogo tena inaanaza kisearch, mwenye ujuzi tafadhari anisaidie
 
Siwezi ku-edit au ku-call jina meseji hii inapojitokeza:

"The process android.process.acore has stopped unexpectedly please try again later."

Nifanyeje?
 
mimi simu yangu kila mda inakuwa inasearch GPS hat kama nikiizim GPS baada ya mda kidogo tena inaanaza kisearch, mwenye ujuzi tafadhari anisaidie

bila shaka unatumia line ya AIRTEL , hilo tatizo lipo kwenye mtandao wa airtel na hata wenyewe hawana solution ya kudumu
 
kiujumla wengi wetu tunatumia Android phone ingawa c 100% ila wengi wao wapo na android phones..

Hivyo nimeona ni bora kuanzisha hii mada ili kila mwenye tatizo la android phone aweze post na mwenye kujua utatuzi wake aweze kumsaidia kma moja ya kupunguza gharama zisizo za msingi kwa kupeleka kwa fundi na vitu vngine...

KARIBUNI

Mkuu simu yangu ni grand 3 kila nikitaka kufungua play store upya kuweka email na password inagoma inaniletea hivi so naomba msaada nakosa addition nyingi kwa apps
 
Attachments

  • 1429727907728.jpg
    1429727907728.jpg
    30.4 KB · Views: 205
Mkuu simu yangu ni grand 3 kila nikitaka kufungua play store upya kuweka email na password inagoma inaniletea hivi so naomba msaada nakosa addition nyingi kwa apps

Mja nenda sehem ya tarehe na angalia kama viko sawa yan kma tarehe na saa viko correct .... pia nenda kwenye APPS na tafuta hiyo google play store kisha zama umo ndan na then clear cache na data alaf rudi kule na anza kusign in ...lejesha majibu ya ulivyoelew kma imeshindika tukupe njia nyingne..KARIBU
 
Inakataa mkuu bado unasoma vile vile
 
Inakataa mkuu bado unasoma vile vile

ok bas jaribu kuingia kwny stting=>storage=> cached dat...zifute hzo na jaribu kasain in
piaunweza ukafoc stop den disable

na pia angalia internet connection ipo sawa yan net inafnyakaz ipasavy
 
Mimi naomba kujua jinsi ya kununua game mbali2 za kulipia unafanyaje hasa hizi zilizo andikwa dollars
 
Hio lazima uwe na card malipo ukisha download utaona hapo ukulipa ndo utumie
 
Mimi naomba kujua jinsi ya kununua game mbali2 za kulipia unafanyaje hasa hizi zilizo andikwa dollars

Mkuu hizo inabidi uwe ume'activate bank account yako iweze kufanya online payments. Ila siku hizi naona Google wanazengua, coz hata kama ushawahi tumia account yako kununua PRO/FULL version apps before siku hizi ukitaka kununua wanakuletea ujumbe "your account has been declined, consult your financial institution".
 
Mimi napenda kucheza game has a LA soka FIFA 15 ila tatizo nikiwa nacheza huwa simu inajizima au kuganda na hapo mpaka nitoe betri ndio iwake tatizo nini
 
Unatumia simu gani mkuu?. Coz mara nyingi ni swala la ukubwa wa RAM, processor speed, na GPU! (Kwa mi navyoona)
 
Back
Top Bottom