Matatizo ya Android phone na utatuzi wake

Matatizo ya Android phone na utatuzi wake

Huawei y 300 phone book inakuja na majina mawilimiwili wakati mm nasave kwenye sim card inakuwaje halafu keyboard ukiandika kitu knakuwa underlined y?
 
pia unaweza kutafuta folder linaloitwa DCIM, . . .lifungue na utafute sub-folder linaitwa THUMBNAILS..ikilipata liselect na ulifute. . .litajitengeneza jingine hivyo usihofu.fanya hivyo na kwenye internal memory

Hicho kidudu dcim Mimi kwenye playstore nineiona dcim helper.ndio hicho au ninini ?
 
Sijawahi kuona simu ya android isiyokuwa na matatizo.
 
Huawei y 300 phone book inakuja na majina mawilimiwili wakati mm nasave kwenye sim card inakuwaje halafu keyboard ukiandika kitu knakuwa underlined y?

nenda setting halafu language and input halafu chagua keyboard setting. untick vitu kama check spelling, auto completion na vyengine vingi utavyoviona
 
Hicho kidudu dcim Mimi kwenye playstore nineiona dcim helper.ndio hicho au ninini ?

kaka dcim inamaanisha digital camera images. ni folder la kuhifadhia picha zako so kuwa makini unapolifuta zile selfie zinaweza potea zote.

kutegemea na camera yako folder hili linaweza chukua space kubwa sababu picha unazopiga mwenyewe zinakuwa ni kubwa nyingi zinarange 1mb-5mb
 
kiujumla wengi wetu tunatumia Android phone ingawa c 100% ila wengi wao wapo na android phones..

Hivyo nimeona ni bora kuanzisha hii mada ili kila mwenye tatizo la android phone aweze post na mwenye kujua utatuzi wake aweze kumsaidia kma moja ya kupunguza gharama zisizo za msingi kwa kupeleka kwa fundi na vitu vngine...

KARIBUNI

Hizi Android ni nzuri sana utazitumia na matumizi mazuri yaani kupata habari (news), hata ku-download vitu, majarida, n.k. Na uweza kupitia hotspot kuunganisha wi fi kwa watu 10 ndani ya sehemu mmoja mkawa mnatumia data bundle ya mtu mmoja. Hata kama una laptop au ipad au tab, unanunua data bundle ya simu moja ya Android, basi hizo ipad, laptop hata tab mnatumia hizo data bundle.

Hata kwenye facebook unaweza ku-like vitu vingi na unakuwa unapata habari za papo hapo, breaking news.
 
Kweli mkuu Android inakupa uhuru wa kumiliki na kuichezea simu yako utakavyo.
 
sasa uzi kama huu unatakiwa uwe stick pale juu otherwise kila cku tutakua tunaanzisha nyuz mpya za matatizo
 
Hicho kidudu dcim Mimi kwenye playstore nineiona dcim helper.ndio hicho au ninini ?

hapana mkuu angalia kwenye list ya mafolder kwenye memory card huwa linahusika hasa na kutunza pictures.
 
ninatumia tecno p 5.tatizo la hii simu nikitaka kuingia either instagram or facebook inaandika ‘unfotenatry instagram stopped'
 
Vipi iPhone hazijawai kuwa na matatizo kabisa.?

Iphone 1 kati ya 100 inaweza kuwa na matatizo hasa ya hardware.

Androids 90 kati ya 100 inaweza kuwa na matatizo hasa ya software.
 
ninatumia techo p 5.tatizo la hii simu nikitaka kuingia either instagram or facebook inaandika ‘unfotenatry instagram stopped'

Nenda setting den apps alaf fata iyoo apps yako mfano INSTAGRAM
click hyo apps kma unatak kuimuv au kuiunstall alaf shuka chin sehem iliyoandikwa CLEAR CACHE na clear apo.......

ikishindikana kwa hlo bas solution nyingne n kuiunstall na kudownload upya
 
Hizi Android ni nzuri sana utazitumia na matumizi mazuri yaani kupata habari (news), hata ku-download vitu, majarida, n.k. Na uweza kupitia hotspot kuunganisha wi fi kwa watu 10 ndani ya sehemu mmoja mkawa mnatumia data bundle ya mtu mmoja. Hata kama una laptop au ipad au tab, unanunua data bundle ya simu moja ya Android, basi hizo ipad, laptop hata tab mnatumia hizo data bundle.

Hata kwenye facebook unaweza ku-like vitu vingi na unakuwa unapata habari za papo hapo, breaking news.

kweli kabixaaa
 
Wataalam mm simu yangu nikitaka kuinstall program inagoma na haitoi ujume wowote, free space ipo, natumia android version 4.4.2 wataalamu nisaidien
Cc chief mkwawa
 
Miziki yangu kwenye music player imekuwa duplicated jamani jinsi yakuondoka hizi copy zilizojiongea coz moja ina play nyingine haiplay sijui inasababishwa na nini.
Plzz mwenye kujua soln.

Connect Simu yako kwenye computer then open hilo folder la miziki, sort by size au sort by type then delete zile zenye extension isiyo ya audio kama vile .scn, na zile zenye KB chache sana
 
Huawei y 300 phone book inakuja na majina mawilimiwili wakati mm nasave kwenye sim card inakuwaje halafu keyboard ukiandika kitu knakuwa underlined y?

Nenda kwenye contacts(phonebook) options. Then kwenye CONTACTS TO DISPLAY, Select SIMCARD.

ingawa ningekushauri uwe unasave contacts Google, kwa usalama zaidi Pamoja na backup.

Kama ulikuwa unasave kwenye Sim. Unaweza Ku export contacts zote kwenda google then unalogin kwenye account yako ya Gmail, unaenda kwenye contacts then DELETE DUPLICATES, then kwenye Simu yako Una set CONTACTS TO DISPLAY kuwa GOOGLE
 
simu yangu ya sony experia v inatatzo maana haionyeshi call list,inamaana nkipigiwa cwez ona missd call je nn tatzo
 
Back
Top Bottom