Matatizo kwenye mahusiano

Smart911 love kuchat na mwanamke mwingine ni hatari kwa afya na ustawi na mahusiano.
Tena hatari for 95%!!

[HASHTAG]#kaambalinaobebii[/HASHTAG]

Ailavyu
mahondaw wangu... Siku zote hakuna urafiki kati ya mwanamke na mwanaume usiishie kwenye kuchombezana... Wanaita flirting... Huanza kama masihara, masihara huleta mazoea, mazoea hujenga tabia, tabia huleta ukaribu, ukaribu huanzisha mapenzi na hatimae kulana...

Ni mbaya sana mahondaw wangu.. Ndiyo maana hata mimi sipendagi uwe na mazoea na wanaume alafu ukaniambia ni rafiki yangu tu, unajua what will happen... Same kwangu nakaa mbali na mazoea na wanawake ovyo... Sababu nakujua sana vile utakavyo react and act...

Apart from all i respect you sana, i value you sana and i love you mahondaw... Seeing you sad, worried, crying, those are things i will never allow to happen on you...


# Love you mahondaw wangu #

Cc: mahondaw
 
Bas sawa.
 
Tehteh kidogo tu mamito
Hawa wanaume sometimes sio kabisa

Lijianaume linalobebwabebwa hovyo kama malaya wa kike mara leo na asha kesho salima keshokutwa mwajuma linatia kichefu chefu kwakweli bora likajiuze tu


[emoji28] [emoji23] [emoji23]
Ndio maana wakati mwingine ni bora usijue historia yote, maana unaweza kutapika.
 


[emoji106] [emoji119] [emoji120] [emoji108]
 
Hizo zote ni stress kama una wa kukumalizia stress wala uwezi anza kuchart chart na mtu
 
Be thankful for all the struggles you go through. They make you stronger, wiser and humble. Don't let it break you let it make you
 
Teh Akili zako unazijua mwenyewe.

Kwenye mada: Ukichukulia maisha serious saana ni vibaya na matatizo mengine hasa ya kimahusiano unaweza kuyasolve kiwepesi ila ukiyafanya magumu yatakutesa.
Eti ee...?!
 
Mbona hapa tuna chat jinsia tofauti na hakuna shida jamani
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hapa tukoo watu wengi
Ss wengine mnatukimbia hapa mnajificha ppm sasa huko ndio mnaenda kujizalishia matwatwizooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…