Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 166,695
- 185,192
mahondaw wangu... Siku zote hakuna urafiki kati ya mwanamke na mwanaume usiishie kwenye kuchombezana... Wanaita flirting... Huanza kama masihara, masihara huleta mazoea, mazoea hujenga tabia, tabia huleta ukaribu, ukaribu huanzisha mapenzi na hatimae kulana...Smart911 love kuchat na mwanamke mwingine ni hatari kwa afya na ustawi na mahusiano.
Tena hatari for 95%!!
[HASHTAG]#kaambalinaobebii[/HASHTAG]
Ailavyu
Ni mbaya sana mahondaw wangu.. Ndiyo maana hata mimi sipendagi uwe na mazoea na wanaume alafu ukaniambia ni rafiki yangu tu, unajua what will happen... Same kwangu nakaa mbali na mazoea na wanawake ovyo... Sababu nakujua sana vile utakavyo react and act...
Apart from all i respect you sana, i value you sana and i love you mahondaw... Seeing you sad, worried, crying, those are things i will never allow to happen on you...
# Love you mahondaw wangu #
Cc: mahondaw

