Wee acha tu
Senee wanawake tunajirahisisha sana kwa hao wanaume wahivo sijui kisa ninini labda
Ndoivo
Linamo watu wanajuana in and out hahaha afu mtu ajitete sijui biashara tu oh kaniomba nisaidie kitu weeeewwweehhh!!
Cc
Smart911
Wanawake tumekuwa cheap sana siku hizi, sijui ndio utandawazi au Mimi ndio bado mshamba. .
Nimeona cases nyingi sana,
-mtu ana mume ila analiwa kiulaini na Ex, ndio maana uwaga mi nasemaga haiwezekani Ex mkawa bado marafiki, urafiki gani wakati anakujua kila kitu
-wadada cku hz akiona mtu anayejulikana, yani wanapagawa, kwa hiyo anagawa kiulaini, yani afu ukute hapewi hela ni ile aonekane na fulani tu, inasikitisha Sana
-wengine wanashobokea sana wanaume wazuri, wanavaa vizuri na wana maisha fulani hv afu ni kwenye social networks sasa. . Ukute hata sio maisha yao. . Wanaliwa papuchi na mtu ambaye hata hawamjui, na wanakimbiwa
Wadada inabidi tujirekebishe jamani lol, haiwezekani tunalalamikia mapenzi ya kweli oooh ndoa, wakati tupo rahisi mno, unapost umevaa taulo na maungo nje nje. . Lifestyle yako imekaa kula bata tu