Matatizo kwenye mahusiano

Husna Muba

JF-Expert Member
Jan 28, 2017
14,524
44,577
Kuna MATATIZO yanatufuata na kuna matatizo tunayakaribisha wenyewe.

Unapokuwa KATIKA ndoa yako na kisha ukaanza "kuchati" na mtu ASIEKUWA jinsia yako kwa mazungumzo ya kuamsha HISIA basi hisia zikiamka ni DHAHIRI kwamba utaanza FIKIRA za kuisaliti NDOA.

Ni TATIZO lililokaribishwa.
 
Smart911 love kuchat na mwanamke mwingine ni hatari kwa afya na ustawi na mahusiano.
Tena hatari for 95%!!

[HASHTAG]#kaambalinaobebii[/HASHTAG]

Ailavyu
 
Si wanasema ukiachana vizuri na ex wako mnaweza mkaendelea kuwa marafiki wazuri tu
Hakuna kitu kama hicho. Mkiwa marafiki Kuna mawili unaweza kuanza kumuonea wivu juu ya mahusiano yake alionayo sasa au ukikuta yupo na mahusiano yasiyo na furaha atataka apumzishe nafsi yake kwako. Kitu ambacho ni hatari kwa mahusiano yako ya sasa. Waswahili wanasema ukitumia mua kama fimbo ya kutembelea ipo siku utaula tu.
 
Back
Top Bottom