DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
DaaahNdo ataniambia ameanza lini kuwa mshauri[emoji28] sitaki mazoea ya kiwango cha lami aiseeeh[emoji5]
Kwa kweli hio tabia hata mimi inanikera kupita maelezo.
DaaahNdo ataniambia ameanza lini kuwa mshauri[emoji28] sitaki mazoea ya kiwango cha lami aiseeeh[emoji5]
Si tabia yenye afyaDaaah
Kwa kweli hio tabia hata mimi inanikera kupita maelezo.
Umekosea mlango Wa kupita[emoji38]Ha ha ha ha Daah nimepost huku tena
...ya kujitakiaWacha kuchat, hakuna urafiki baina ya mwanamke na mwanaume wasio ndugu... Wanaojifanya marafiki ndio wengi huingia katika matatizo hayo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si ndiyo mnaanza nyinyi kujisogezesha, kwa ku chat vitu vya hatari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mapenzi mubashra
Lazima siku itakuja mtatamani kukumbushia enziSi wanasema ukiachana vizuri na ex wako mnaweza mkaendelea kuwa marafiki wazuri tu
Vipi husna kulikoni.....Lazima siku itakuja mtatamani kukumbushia enzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unapenda eeHa ha ha ha, unapewa haki yako tu, ila raha sana binti akitaka mwenyewe
Da kweli mkuuHakuna kitu kama hicho. Mkiwa marafiki Kuna mawili unaweza kuanza kumuonea wivu juu ya mahusiano yake alionayo sasa au ukikuta yupo na mahusiano yasiyo na furaha atataka apumzishe nafsi yake kwako. Kitu ambacho ni hatari kwa mahusiano yako ya sasa. Waswahili wanasema ukitumia mua kama fimbo ya kutembelea ipo siku utaula tu.
Aiseee kwa smart huoni wala husikii[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbishi ka shi..paKweli we jamaa mbishi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nawe pia baba mtakatifuYani natamani niwachokozeee .
Ila bas leo sunday.
Muwe na j2 njema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa mkuuhapa hakuna ubishi ni kuelezana live tu bila kuchuja kitu.
Likoje?Jina lako mkuu, lol