Hakuna kitu kama hicho. Mkiwa marafiki Kuna mawili unaweza kuanza kumuonea wivu juu ya mahusiano yake alionayo sasa au ukikuta yupo na mahusiano yasiyo na furaha atataka apumzishe nafsi yake kwako. Kitu ambacho ni hatari kwa mahusiano yako ya sasa. Waswahili wanasema ukitumia mua kama fimbo ya kutembelea ipo siku utaula tu.
Kuna MATATIZO yanatufuata na kuna matatizo tunayakaribisha wenyewe.
Unapokuwa KATIKA ndoa yako na kisha ukaanza "kuchati" na mtu ASIEKUWA jinsia yako kwa mazungumzo ya kuamsha HISIA basi hisia zikiamka ni DHAHIRI kwamba utaanza FIKIRA za kuisaliti NDOA.
Ni TATIZO lililokaribishwa.
Kweli we jamaa mbishiUsijipe pressure bure, unaambiwa hakuna ndoa siku hizi...wacha tugegedane tu ila kwa kujikinga.
Yani natamani niwachokozeee .Sio mabinti tu hata wanaume !
Mkiona binti kasomeka aaaaaaaaa kiulainiii
Kwa sisi mabinti labda kujisogezesha kihasara hasara tu
Cc Smart911
Kweli we jamaa mbishi
Hakuna urafiki Kati ya watu wa jinsia mbili tofauti waliowahi jifunika shuka moja tena wakiwa Watupu. Ogopa Kama ukoma.Si wanasema ukiachana vizuri na ex wako mnaweza mkaendelea kuwa marafiki wazuri tu
Mahondaw unasemaje kuhusu suala la mtu kuchat na ex wake ?
Hizi tabia wanazo Sana wanaume, na hawez kuchat bila kuingizia upuuzi, na inasikitisha wadada wa siku hizi they are so low, wanagawa kiurahisi sanaaaa tena kwa kaka zangu with looks na mafanikio wanawachota tu
Wee acha tu Senee wanawake tunajirahisisha sana kwa hao wanaume wahivo sijui kisa ninini labdaHakuna urafiki Kati ya watu wa jinsia mbili tofauti waliowahi jifunika shuka moja tena wakiwa Watupu. Ogopa Kama ukoma.
Huo wivu punguza ndugu yangu. Mwanche ex nae apate kampani ya mtu wa kuchati naeYani mamy ukimuona Shem smart[emoji85] anachart na ex kuwa mbogo[emoji4]
Yani mamy ukimuona Shem smart[emoji85] anachart na ex kuwa mbogo[emoji4]
Hapana aiseee wanachat nini Kama si kukumbushiana[emoji23][emoji23][emoji23]Huo wivu punguza ndugu yangu. Mwanche ex nae apate kampani ya mtu wa kuchati nae
[emoji4] that's my girl[emoji123][emoji123]Ofcourse best asante sana
Sio ex tu na mwanamke yoyote asie ndugu yake khakhaakhaa hapatoshi asee ukizubaa wanawake sie tunavojijua ni dakika sifuri keshadakwa lol
I won't allow that napasua mtu ubongo
Wanapeana ushauri jinsi ya kujiendeleza kiuchumi [emoji3] [emoji3]Hapana aiseee wanachat nini Kama si kukumbushiana[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo ataniambia ameanza lini kuwa mshauri[emoji28] sitaki mazoea ya kiwango cha lami aiseeeh[emoji5]Wanapeana ushauri jinsi ya kujiendeleza kiuchumi [emoji3] [emoji3]