MissM4C
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,740
- 1,004
Mfanyabiashara mmoja wa kikenya mwenye depot lake pale sirari mpakani ambapo huwa ananunua sukari toka Kagera Sugar na Mtibwa na Kui-rebag na kisha kutia kwenye mifuko ya SONNY Sugar kisha kwenda kuuzwa Kenya amekamatwa leo nakukutwa akifanya utaratibu... Amekamatwa na wenzako 20 kutiwa ndani.
Uhuni juu Kenya mliutoa wapi?
ITV.
Uhuni juu Kenya mliutoa wapi?
ITV.