matapeli safari za LOLIOND!!

matapeli safari za LOLIOND!!

Spear_

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
1,734
Reaction score
1,010
Habari wana Jf nipo hapa Arusha naona niwape hii huenda itasaidia, kuna watu wanajidai wao ni madalali wa safari za Loliondo kwa Babu na kuchukua pesa za watu na kuwaambia magari yatakuja jioni na watu wataondoka kwa pamoja, wengine wanatoa hadi tiketi "feki" kisha huingia mitini, kuwa makini usilipe bila kuona ngari!!

TAARIFU WENGINE PIA KABLA HAWAJALIZWA,
 
Kweli inasikitisha, watanzania tusaidiane jamani. wewe mtu ana HIV anataka kwenda kunywa dawa halafu unamwibia... It's not fair at all!
 
Kweli inasikitisha, watanzania tusaidiane jamani. wewe mtu ana HIV anataka kwenda kunywa dawa halafu unamwibia... It's not fair at all!

Mbaya zaidi wanapiga cha juu sana, sasa nauli ni hadi 150,000 ukija kichwa kichwa unapiga tiketi feki, JANA WALILIZWA WATU KIBAO
 
Duh Bongo kila kona ufisadi.......balaa hii sasa. Itageuka laana.
 
Kweli inasikitisha, watanzania tusaidiane jamani. wewe mtu ana HIV anataka kwenda kunywa dawa halafu unamwibia... It's not fair at all!

mkuu ...nimekugongea thanks kwa hii avatar yako kwani u mkakamavu na hauhitaji kwenda kwa babu
 
Tunaomba Mungu aponye watu wake na gonjwa hili. Mimi swali ni kuwa je baada ya kupona hao wagonjwa halafu nini? Je gesti zitafungwa au ndio zitahitajika zaidi? Kondom je/ Njaribu kupiga picha taifa zima halina matatizo ya ukimwi...Nipeni mawazo.
 
ukirudia unakufa
 
tunaomba mungu aponye watu wake na gonjwa hili. Mimi swali ni kuwa je baada ya kupona hao wagonjwa halafu nini? Je gesti zitafungwa au ndio zitahitajika zaidi? Kondom je/ njaribu kupiga picha taifa zima halina matatizo ya ukimwi...nipeni mawazo.

kwa watu waliokuwa wanaugua kisukari, na waliokuwa kweli ugonjwa umewatafuna, niaamini watarekebisha tabia, lakini wale ambao hawakuwahi kupata maumivu ya maradhi waliyokuwa nayo sidhani kama kutakuwa na badiliko...
 
ukirudia unakufa
itakuwa safi sana!! ila wazee kwa watu wa kisukari (ambao tayari nimeshuhudia kwa macho kuwa amepona) kulingana na mateso aliyopata sidhani kama atarudia tena starehe za bila kuwa na kiasi!!
 
hivi kuna aliyepona mpaka sasa hivi?......simaanishi ndugu, rafiki, au jirani yake nani sijui....maanisha aliyepona ambaye yupo humu JF aseme mwenyewe kuwa amepona.
 
Back
Top Bottom